Wagombea uchaguzi jimbo la Chato enzi hizo

Wagombea uchaguzi jimbo la Chato enzi hizo

Hivi kweli humu jukwaani hakuna hata mtu mmoja aliefundishwa kemistri na huyu mkemia wetu, atupe wasifu wake kipindi alichokua anachezea chaki.
HIlo swali nimeuliza mara kadhaa na sijapata jibu!!
 
Hivi kweli humu jukwaani hakuna hata mtu mmoja aliefundishwa kemistri na huyu mkemia wetu, atupe wasifu wake kipindi alichokua anachezea chaki.
Huyu kweli anaweza kukufundisha "Quantum theory" ukaelewa? Kwa elimu yake ya kukariri na kugezea
 
umenikumbusha marehemu mzee phares kabuye. miaka ile kiumri nikuwa bado mdogo, ila nilikuwa nafatilia sana session za bunge kupitia tvt(sasa tbc1).

sikujua kama jimbo alilokuwa analiwakilisha lilikuwa ni sehemu ya chato.

huyu mzee akiwa anaongea, sauti yake ilikuwa ni kama anafoka vile. roho yake iendelee kupumzika huko iliko.
 
Mkemia anaikimbia Corona wasomi wetu ni wale wa kutokelezea zaidi
 
Back
Top Bottom