LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wasomi 😂😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    420.8 KB · Views: 5
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 4
  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 5
Napitia fomu za hao unaowaita wasomi kwenye Mkoa X kuandika tu shida..... Errors kibaooo.....

Na endapo mngekaziwa kulinganisha majina ya Nida na fomu zenu nyie wasomi 50% msingetoboa.
 
Yes gentleman,

vyama vinginevyo walisimamisha wazee maskini ya Mungu hata kujaza fomu hawaezi kila moja anasingizia macho. Kuna waliorudia kujaza fomu mara 7 anakosea tu, sasa mtu kama huyo ataruhusiwa kweli kugombea UONGOZI?🤣
Man watu wako field wanaona, hakuna mgombea mwenye nafuu, unless kama wa ccm wanatoea mbinguni ila kama wanatokea kwneye jamii zetu hali ni mbaya ni wale wale tofauti ni vyma
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hilo neno usomi toa, hakuna watu wapuuzi kama wanaojiita wasomi ndani ya nchi hii, na wanapokuwa ccm ndio inakuwa mbaya zaidi. Toa hiyo sifa ya usomi maana ndio tunajua kwa kiwango gani kumejaa wapuuzi.
 
kwani wewe ni kijana msomi gentleman? mbona umepanic na wakati sio mgombea msomi wew 🤣
Hivi wewe degree yako ya pale UDSM imekusaaidia nini?Mbona bado CHAWA ?Mbona bado ni Malaya .Msomi wa UDSM ungana na vijana wenye Elimu nzuri kama yako ya kutoka chuo bora Africa Mashariki kupata Katiba mpya !Acha kuidhalilisha UDSM kwa uchawa Ili uweze kula ??

Kulikuwa na haja gani ya wewe kwenda shule ?
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
"Wasomi tupu" kuanzia tu mwaka huu au hata miaka iliyopita?
 
Hilo neno usomi toa, hakuna watu wapuuzi kama wanaojiita wasomi ndani ya nchi hii, na wanapokuwa ccm ndio inakuwa mbaya zaidi. Toa hiyo sifa ya usomi maana ndio tunajua kwa kiwango gani kumejaa wapuuzi.
for sure inakera sana,
wagombeaji wa chama tawala wote ni vijanaa wasomi dah🤣

huku wa vyama vingine ni wazee sana halafu wafuasi wao wengi hawajajiandikisha 🤣

huna watu, halafu hukubaliki wala huaminiki. Kuparara kisiasa ni kitu mbaya sana aise 🤣
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Acha unaa hata yule asiyejua kuandika tarehe yake ya kuzaliwa ni msomi?
 
"Wasomi tupu" kuanzia tu mwaka huu au hata miaka iliyopita?
Gentleman,
nazungumzia uchaguzi wa Nov 27,ambao kampeni zake tayari zimeanza leo na si vinginevyo 🐒
 
Back
Top Bottom