Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wasomi wa uchawa bila shaka Jo.Wasomi wa Kitu gani hapa Tanganyika? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasomi wa uchawa bila shaka Jo.Wasomi wa Kitu gani hapa Tanganyika? 😂
Vijana wasomi ndio wanaotakiwa. Hienda chama kimeona hilo hitaki na kimelifanyia kazi.Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
yule ambae mmeokota picha sijui wapi huko, mkabandika kwenye fomu ya kugombea na kuanza kupotosha umma kupitia mitandao ya kijamii nchi nzima 🤣Acha unaa hata yule asiyejua kuandika tarehe yake ya kuzaliwa ni msomi?
Wagombea gani bosa, kwenye hizi chaguzi za kishenzi unaweza kuongelea wagombea?for sure inakera sana,
wagombeaji wa chama tawala wote ni vijanaa wasomi dah🤣
huku wa vyama vingine ni wazee sana halafu wafuasi wao wengi hawajajiandikisha 🤣
huna watu, halafu hukubaliki wala huaminiki. Kuparara kisiasa ni kitu mbaya sana aise 🤣
sure gentleman,Vijana wasomi ndio wanaotakiwa. Hienda chama kimeona hilo hitaki na kimelifanyia kazi.
gentleman,Hivi wewe degree yako ya pale UDSM imekusaaidia nini?Mbona bado CHAWA ?Mbona bado ni Malaya .Msomi wa UDSM ungana na vijana wenye Elimu nzuri kama yako ya kutoka chuo bora Africa Mashariki kupata Katiba mpya !Acha kuidhalilisha UDSM kwa uchawa Ili uweze kula ??
Kulikuwa na haja gani ya wewe kwenda shule ?
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
CCM ina hazina kubwa mno ya vijanaa wasomi wa kada mbalimbali waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali nchini ndiyo hao leo hii maeneo mbalimbali nchini wanazindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa na vijijini, kwa nafasi za uongozi wanazogombea..Wasomi wa Kitu gani hapa Tanganyika? 😂
huyo si mgombea wa CCM popote nchini gentleman,We ni mjinga sn dada angu, yule wa CCM aliyezaliwa tarehe 24-12-2024 mbona hajaenguliwa?
huyo sio mgombea uongozi wa CCM popote nchini .View attachment 3156861
Na amini mnawasomi wazuri sana
Unaposema wasomi una maana gani?Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
namaanisha vijana makini wa CCM, wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini na wenye maono na mipango mbadala ya kuleta mageuzi na mabadiliko katika maisha ya mitaa na vijiji mbalimbali kote nchini.Unaposema wasomi una maana gani?
Wasomi kwenye level gani?
Ulifanya utafiti kabla ya kuropoka haya?
Au kwa sababu wao walijaza FOMU bila "kukosea"?
Yap yap yapBAWACHA naskia mnazindua kampeni mpya ya kuchoma vitenge leo badala ya kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa 🤣
Upo naye UWThiyo laana itawatafuna na kuwaumbua sana kabla ya mwaka huu 2024kwisha aise ,
na yule mwenzenu mliomfanyia kitu mbaya wenyewe, anaendeleaje kwasasa 🐒