johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema ina Vijana wengi wenye vyetiCCM ina hazina kubwa mno ya vijanaa wasomi wa kada mbalimbali waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali nchini ndiyo hao leo hii maeneo mbalimbali nchini wanazindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa na vijijini, kwa nafasi za uongozi wanazogombea..
kwani kuna ubaya wowote gentleman ?🐒
Usomi ni Kitu kingine kabisa bwashee 😄😄

