LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Leo inakupa ugali utaongea yote. Kuna siku utasimama peke yako. Hakuna ugali lakini utakua na kilio. Chanzo Cha kilio kitakua CCM isiyo simamia haki. Utaikumbuka hii comment na namna mlivyoshinda chaguzi mbalimbali na mchango wako kwenye wizi. Utakua yupo Mungu aonae!
hiyo ni ramli au dua la kuku kwa mwewe gentleman? :pedroP:
 
Kumbe "usomi tupu" haukukusaidia? Na he, utawasaidia kweli hao "wasomi tupu" mliowaweka mwaka huu?
tuliza mawenge tu gebtleman,

kazi ndio kwanza imeanza, mbona utafurahia muziki wa maendeleo tu.

kua na subra, kaa mkao wa kula :pulpTRAVOLTA:
 
Mwaka 2019 na 2020 baada ya kuwaengua wapinzani mlijitangaza "tumepata ushindi wa kishindo." Nadhani baada ya kuwaengua wapinzani wengi hata mwaka huu na pia mwakani mtajitangaza tena "tumepata ushindi wa kishindo". Lakini kwenye 'fair play' hammo kabisa!
nadhani makosa ya mwaka huu ya upinzani ni kupuuzia na kususa kujiandikisha,

matokeo yake,
hapakua na option zaidi ya kuwashinikiza wazee wachache waliojiandikisha, eti ndiyo wawe wagombea :pedroP:

mzee anajaza fomu zaidi ya mara5, na mara zote anakosea. nadhani ni muhimu mtu kama huyo kuenguliwa kwasababu hakuna anachoweza sasa.
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
mgombea mmoja mjinga wa ccm tuko naye hapa kwenye kampeni hajui kusoma wala kuandika barua anaandikiwa na mke wake ila tu kwa vile ni ccm na yeye kajaza fomu na hakuonekana anakosa,kila akipanda jukwaani hicho kipengele anakutana nacho ila maccm yanamkenulia tu kwa sababu ni wakwao
 
mgombea mmoja wa ccm tuko naye hapa kwenye kampeni hajui kusoma na kuandika barua anaandikiwa na mke wake ila tu kwa vile ni ccm na yeye kajaza fomu na hakuonekana anakosa
acha upotoshaji wa kutafuta huruma na kiki gentleman...

wagombea uongozi wa CCM sio watu wa mabarua barua ni watu wa kazi tu.

wagombea wengi wa CCM katika uchaguzi huu, ni vijana wahitimu na wasomi wa vyuo vikuu, kwahiyo huo upotoshaji hauna maana yoyote 🐒
 
ni ujinga kukaza shingo na kukanusha usilolijua kwa akili yako ndogo unafikiri Tz ni hapo we ulipo tu
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Nyau
 
ndiyo gentleman,
nilionekana kichaa kwenda kugombea ubunge kwa mara ya kwanza, mara tu baada ya kumaliza paper ya mwisho mwaka mwaka wa tatu chuo kikuu, huku nikiwa na laki5 tu mfukoni :pedroP:

uliza sasa ilikua mwaka gani? nilifaulu au sikufaulu mtanange huo?:pedroP:

niliowakuta humu JF tena ambao ndio mathink tank kwenye vyama vyao wakaishia kuniignore tu,
kwasababu wanashangaa huyu mujamaa amefanyafanyaje na laki tano tu, mpaka akakua poweful individual !!namna hii?:pedroP:y

My friend ni kujipanga tu,
tafiti zangu zote zaidi ya mbili za kitaaluma kwa kiasi kikubwa kwa Neema na Baraka za Mungu, nimefanikiwa kupitia JF:pulpTRAVOLTA:
Hatuzungumzii hilo !!Tunazungumzia usomi !!WEWE SIYO MSOMI HATA KIDOGO.(Una karatasi ya degree
Ulienda CCM baada ya kuona ukiingiza kwenye data base utaonekana na uchaguliwe kuwa hata MKURUGENZI WA HALMASHAURI.

Kumbuka maongezi yako siku Ile tukiwa cafeteria UDSM

NINA KUJUA UKIENDELEA KUZINGUA NAKUAMBISHA .

Umepewa kazi ya kuandika kwenye mitandao Msomi mzima.
 
uhuni kwa kuambiwa ukweli ccm ni kichaka ya majizi labda tu we ni mgeni huko
upotoshaji ni uhuni gentleman,

waTanzania hawezi kubabaika na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Vijanaa wasomi wanashika hatamu za uongozi wa taifa kuanzia sasa, kuanzia ngazi za vitongoji, vijiji na mitaa kwa mustakabali mwema wa umoja amani na utulivu wa Taifa letu.

Huu ni mwanzo wa mwisho wa mihemko na upotoshaji wa kihuni 🐒
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hao hao unaowasifia leo kwamba ni wasomi, wakihamia chama kingine utasema kinyume chake kuhusu wao..!! Kwa unafiki mnajulikana.
 
upotoshaji ni uhuni gentleman,

waTanzania hawezi kubabaika na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Vijanaa wasomi wanashika hatamu za uongozi wa taifa kuanzia sasa, kuanzia ngazi za vitongoji, vijiji na mitaa kwa mustakabali mwema wa umoja amani na utulivu wa Taifa letu.

Huu ni mwanzo wa mwisho wa mihemko na upotoshaji wa kihuni 🐒
acha kupanic mzee ndo ccm walivyo cha ajabu sifa ya mgombea ni kujua kusoma na kuandika,jambo ambalo wengi wa ccm hawana ni ubabaishaji tu
 
Hatuzungumzii hilo !!Tunazungumzia usomi !!WEWE SIYO MSOMI HATA KIDOGO.(Una karatasi ya degree
Ulienda CCM baada ya kuona ukiingiza kwenye data base utaonekana na uchaguliwe kuwa hata MKURUGENZI WA HALMASHAURI.

Kumbuka maongezi yako siku Ile tukiwa cafeteria UDSM

NINA KUJUA UKIENDELEA KUZINGUA NAKUAMBISHA .

Umepewa kazi ya kuandika kwenye mitandao Msomi mzima.
CCM tunazungumza mambo yote bila mbambamba ya mtu yeyote gentleman..

habari sijui cafeteria ulikua nini, hizo ni njaa za asubuh asubuh 🤣

mimi sina haja ya kuchaguliwa na yeyote popote, ispokua kwa Baraka na Neema za Mungu nipo hivi nilivyo na sibabaiki na ng'we ng'we za mtu yeyote.

Ile ya muhimu zaidi,
ni hawa wananchi walioniamini na kunipatia nafasi ya kuwafanyia kazi ndio wa muhimu zaidi ambao nitawachunga kwa hali na mali..

zaidi ya hapo,
hayo mambo mengine unaleta ni stories na porojo za pata potea gentleman 🐒
 
Hao hao unaowasifia leo kwamba ni wasomi, wakihamia chama kingine utasema kinyume chake kuhusu wao..!! Kwa unafiki mnajulikana.
mimi simfiii mtu yeyote gentleman,
naeleza ukweli tu ambao ni dhahiri na usio na mawaa..

huo ni mtazamo wa waliopoteza uelekeo gentleman 🐒
 
acha kupanic mzee ndo ccm walivyo cha ajabu sifa ya mgombea ni kujua kusoma na kuandika,jambo ambalo wengi wa ccm hawana ni ubabaishaji tu
labda unifindishe wewe huo ushirikina wa kupanic na mihemko gentleman 🤣

upinzani walipuuza kujiandikisha,
wakajikuta zoezi la kujiandikisha limekwisha na waliojiandikisha ni wazee pekee,
matokeo yake wakaanza kuwalazimisha kuchukua fomu za kugombea uongozi..

wazee wanakosea kujaza fomu hata warudie mara10🤣
 
vijana wako upinzani ndo maana ccm wanatumia nguvu kubwa kwa watendaji kuwaengua,ccm wengi ni wazee jana niliwakuta mahali kwenye mgao wa pikipiki za rushwa ya sa100, unamwona mzee anatetemeka tu amekuja na dereva wake kuchukua pikipiki utakuta mzee kama huyo ni katibu wa tawi au shina
 
ndiyo wale wanaochochewa na mihemko, ghadhabu na makasiriko kuporomosha matusi kwa ustadi mkubwa namna ile, right?🤣

wagombea uongozi wa CCM wa serikali za mitaa na vijiji 2024 95% ni vijana wasomi wa vyuo vikuu ndiyo maana fomu walichukua, wakajaza na kuzirudisha siku hiyo hiyo.

Tofauti na wazee wa watu huko upinzani, wameshinikizwa kujaza fomu maskini ya Mungu, kwasabb ya uoni hafifu wamekosea kujaza fomu, sababu iliyopelekea kuenguliwa kwenye uchaguzi kwa kukiuka taratibu, kanuni na sheria za uchaguzi.

Upinzani hakuna vijana gentleman,
kuna genge la waporomosha matusi tu ambao hawezi kuchagulika kua viongozi na hawana sifa kabisaa kwasabb hawajajiandikisha hata kupiga kura 🐒
 
Back
Top Bottom