LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Una hakika? Chama cha wazee inakuwaje kiwe na wagombea wote vojana
uhakika ni 100%
njoo kwenye kampeni ushuhudie na kuthibitisha pasina shaka ukweli na uhakika huo gentleman.

ni vijana wahitimu wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wanawezaje kua wazee na wengine pia walishahitimu kabla?

Kijana alie nje ya CCM, huyo anatambulika kama mporomosha matusi, mtukanaji asie na heshima, aliefunzwa utovu wa nidhamu na mihemko na chama chake.

mtu mtovu wa nidhamu kama huyo hawezi kuchaguliwa kua kiongozi wa wananchi nje ya chama chake, amini usiamini 🐒
 
kama hoja ya msingi inavyoeleza gentleman,

hivi kweli wagombea uongozi vijanaa wasomi wa vyuo vikuu wa CCM wakosee kujaza fomu, ukilinganisha na wale wa upande wa pili, tena ni wazee wenye uoni hafifu, eti ndio wameshinikizwa kugombea uongozi, baada ya vijanaa wao walisusa kujiandikisha🐒

dah inasikisha sana aise, yaa mgombea anakosea zaidi ya mara tano, fomu imefutwa futwa unadhani utadhani ina majibu ya kuibia 🤣
Eti bwana, wakati kwa wasomi hata waliokwishafariki, potea kwa muda mrefu na hawajulikani walipo, na watoto ambao miaka yao imekuwa 'inflated' ni wagombea wenye sifa!🤣🤣🤣
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ulitakiwa utoe mifano ya baadhi ya wagombea, majina, elimu na mitaa wanayogombea.
 
na kwa utaratibu huu wa succession plan, CCM itaendelea kuwapa fursa vijanaa wasomi nafasi za uongozi ili kuwaongoza wa Tanzania kwa kipindi chote🐒

mifano iko wazi, na sio maneno matupu.

usiache kuhudhuria kampeni za CCM nchi nzima zinazoendekea kwa kasi zaidi.

acha uvivu gentleman mambo ni wazi mchana kweupe 🐒
 
Gentleman,
msukuma is a Doctor with PhD, huwezi mlinganisha na mbowe au sugu in academic status.

na by the way,
vijanaa wasomi wa CCM kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa ndiyo madiwani na wabunge wa siku zijazo 🐒
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kwa hiyo king msukuma ni msomi??
 
na kwa utaratibu huu wa succession plan, CCM itaendelea kuwapa fursa vijanaa wasomi nafasi za uongozi ili kuwaongoza wa Tanzania kwa kipindi chote🐒

mifano iko wazi, na sio maneno matupu.

usiache kuhudhuria kampeni za CCM nchi nzima zinazoendekea kwa kasi zaidi.

acha uvivu gentleman mambo ni wazi mchana kweupe 🐒
Mwenyekiti wa wenu form 4 alipata DV ngapi??
 
kwenye Uchaguzi huu wa serikali za mitaa, CCM imewapa fursa na nafasi vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini kugombea uongozi katika nafasi ya Mwenyekiti wa mitaa na vijiji..

Haya yakiwa maandalizi,yakuwafanya vijana wengi zaidi kufahamu vizuri masuala ya jamii huko ground.

mengineyo ni story na porojo za pata potea 🐒
 
Mwenyekiti wa wenu form 4 alipata DV ngapi??
kwenye Uchaguzi huu wa serikali za mitaa, CCM imewapa fursa na nafasi vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini kugombea uongozi katika nafasi ya Mwenyekiti wa mitaa na vijiji..

Haya yakiwa maandalizi,yakuwafanya vijana wengi zaidi kufahamu vizuri masuala ya jamii huko ground.

mengineyo ni story na porojo za pata potea 🐒
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Enzi za Wilbrod Slaa nakumbuka miaka ya 2010 vyama vyote walikuwa na harakati vyuoni. Mnyika, Silinde, na wengineo walitokea vyuoni. Leo hii mkuu wa chuo gani atabakia kwenye nafasi akiruhusu harakati za siasa kwa vyama vya upinzani. Naona tumebakia CCM kutamba peke yetu vyuoni. Hii ni sawa na kumfunga mtu mikono halafu unamtaka mpigane, utamuua tu.
 
Kwamba hawa vijana wasomi watakijanasha Chama au sio
vijanaa hao wasomi wa vyuo vikuu, wameamua kutumia ujuzi wao katika kuchochea maendeleo katika jamii zinazo wazunguka . Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana.

Well done CCM 🐒
 
Enzi za Wilbrod Slaa nakumbuka miaka ya 2010 vyama vyote walikuwa na harakati vyuoni. Mnyika, Silinde, na wengineo walitokea vyuoni. Leo hii mkuu wa chuo gani atabakia kwenye nafasi akiruhusu harakati za siasa kwa vyama vya upinzani. Naona tumebakia CCM kutamba peke yetu vyuoni. Hii ni sawa na kumfunga mtu mikono halafu unamtaka mpigane, utamuua tu.
CCM wanatosha. Wana hekima na busara za kiwango cha juu mno,

ukilinganisha na vijana wa vyama vingine vya siasa waliojaa mihemko, ghadhabu, makasiriko na wanaporomosha matusi balaa...

sasa unamruhisuje mtu kama huyo kwenye mijadala huru vyuoni? Si atavunja meza na viti akishindwa hoja 🐒
 
Labda ni wasomali
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema wameleta wanasheria wengi waliomaliza vyuo currently.
 
Back
Top Bottom