Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #121
uhakika ni 100%Una hakika? Chama cha wazee inakuwaje kiwe na wagombea wote vojana
njoo kwenye kampeni ushuhudie na kuthibitisha pasina shaka ukweli na uhakika huo gentleman.
ni vijana wahitimu wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wanawezaje kua wazee na wengine pia walishahitimu kabla?
Kijana alie nje ya CCM, huyo anatambulika kama mporomosha matusi, mtukanaji asie na heshima, aliefunzwa utovu wa nidhamu na mihemko na chama chake.
mtu mtovu wa nidhamu kama huyo hawezi kuchaguliwa kua kiongozi wa wananchi nje ya chama chake, amini usiamini 🐒