ndiyo gentleman,
nilionekana kichaa kwenda kugombea ubunge kwa mara ya kwanza, mara tu baada ya kumaliza paper ya mwisho mwaka mwaka wa tatu chuo kikuu, huku nikiwa na laki5 tu mfukoni
uliza sasa ilikua mwaka gani? nilifaulu au sikufaulu mtanange huo?
niliowakuta humu JF tena ambao ndio mathink tank kwenye vyama vyao wakaishia kuniignore tu,
kwasababu wanashangaa huyu mujamaa amefanyafanyaje na laki tano tu, mpaka akakua poweful individual !!namna hii?

y
My friend ni kujipanga tu,
tafiti zangu zote zaidi ya mbili za kitaaluma kwa kiasi kikubwa kwa Neema na Baraka za Mungu, nimefanikiwa kupitia JF