Wasomi ππππHaya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
UWT pendeni taifa lenu acheni ujinga ujingakwani wewe ni kijana msomi gentleman? mbona umepanic na wakati sio mgombea msomi wew π€£
Wote walirudishwa labda kama hawakutaka ama walijifanya Female wakati ni male ambalo ni kosa kubwa mnooJinga kabisa, kama ni wasomi kwanini mliengua wapinzani kama mnapendwa?
Yes gentleman,Wasomi ππππ
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
We ni mjinga sn dada angu, yule wa CCM aliyezaliwa tarehe 24-12-2024 mbona hajaenguliwa?Wote
Wote walirudishwa labda kama hawakutaka ama walijifanya Female wakati ni male ambalo ni kosa kubwa mnoo
Man watu wako field wanaona, hakuna mgombea mwenye nafuu, unless kama wa ccm wanatoea mbinguni ila kama wanatokea kwneye jamii zetu hali ni mbaya ni wale wale tofauti ni vymaYes gentleman,
vyama vinginevyo walisimamisha wazee maskini ya Mungu hata kujaza fomu hawaezi kila moja anasingizia macho. Kuna waliorudia kujaza fomu mara 7 anakosea tu, sasa mtu kama huyo ataruhusiwa kweli kugombea UONGOZI?π€£
Hilo neno usomi toa, hakuna watu wapuuzi kama wanaojiita wasomi ndani ya nchi hii, na wanapokuwa ccm ndio inakuwa mbaya zaidi. Toa hiyo sifa ya usomi maana ndio tunajua kwa kiwango gani kumejaa wapuuzi.Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
UWT chapeni kazihalafu kumbe wewe ni Mama Ima π€£
una certificate ya upambaji ila eti sasa ni katibu wa BAWACHA wilaya ya hai?π€£
Hivi wewe degree yako ya pale UDSM imekusaaidia nini?Mbona bado CHAWA ?Mbona bado ni Malaya .Msomi wa UDSM ungana na vijana wenye Elimu nzuri kama yako ya kutoka chuo bora Africa Mashariki kupata Katiba mpya !Acha kuidhalilisha UDSM kwa uchawa Ili uweze kula ??kwani wewe ni kijana msomi gentleman? mbona umepanic na wakati sio mgombea msomi wew π€£
"Wasomi tupu" kuanzia tu mwaka huu au hata miaka iliyopita?Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli,
ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania
for sure inakera sana,Hilo neno usomi toa, hakuna watu wapuuzi kama wanaojiita wasomi ndani ya nchi hii, na wanapokuwa ccm ndio inakuwa mbaya zaidi. Toa hiyo sifa ya usomi maana ndio tunajua kwa kiwango gani kumejaa wapuuzi.
Acha unaa hata yule asiyejua kuandika tarehe yake ya kuzaliwa ni msomi?Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.π
Mungu Ibariki Tanzania