LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Una hakika? Chama cha wazee inakuwaje kiwe na wagombea wote vojana
uhakika ni 100%
njoo kwenye kampeni ushuhudie na kuthibitisha pasina shaka ukweli na uhakika huo gentleman.

ni vijana wahitimu wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wanawezaje kua wazee na wengine pia walishahitimu kabla?

Kijana alie nje ya CCM, huyo anatambulika kama mporomosha matusi, mtukanaji asie na heshima, aliefunzwa utovu wa nidhamu na mihemko na chama chake.

mtu mtovu wa nidhamu kama huyo hawezi kuchaguliwa kua kiongozi wa wananchi nje ya chama chake, amini usiamini πŸ’
 
Eti bwana, wakati kwa wasomi hata waliokwishafariki, potea kwa muda mrefu na hawajulikani walipo, na watoto ambao miaka yao imekuwa 'inflated' ni wagombea wenye sifa!🀣🀣🀣
 
Ulitakiwa utoe mifano ya baadhi ya wagombea, majina, elimu na mitaa wanayogombea.
 
Eti bwana, wakati kwa wasomi hata waliokwishafariki, potea kwa muda mrefu na hawajulikani walipo, na watoto ambao miaka yao imekuwa 'inflated' ni wagombea wenye sifa!🀣🀣🀣
na kwa utaratibu huu wa succession plan, CCM itaendelea kuwapa fursa vijanaa wasomi nafasi za uongozi ili kuwaongoza wa Tanzania kwa kipindi choteπŸ’
Ulitakiwa utoe mifano ya baadhi ya wagombea, majina, elimu na mitaa wanayogombea.
mifano iko wazi, na sio maneno matupu.

usiache kuhudhuria kampeni za CCM nchi nzima zinazoendekea kwa kasi zaidi.

acha uvivu gentleman mambo ni wazi mchana kweupe πŸ’
 
Gentleman,
msukuma is a Doctor with PhD, huwezi mlinganisha na mbowe au sugu in academic status.

na by the way,
vijanaa wasomi wa CCM kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa ndiyo madiwani na wabunge wa siku zijazo πŸ’
Hahahaha 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 kwa hiyo king msukuma ni msomi??
 
Mwenyekiti wa wenu form 4 alipata DV ngapi??
 
Mwenyekiti wa wenu form 4 alipata DV ngapi??
kwenye Uchaguzi huu wa serikali za mitaa, CCM imewapa fursa na nafasi vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini kugombea uongozi katika nafasi ya Mwenyekiti wa mitaa na vijiji..

Haya yakiwa maandalizi,yakuwafanya vijana wengi zaidi kufahamu vizuri masuala ya jamii huko ground.

mengineyo ni story na porojo za pata potea πŸ’
 
he is recognized Dr,
Kiongozi wa wananchi na anakul maisha tu sambamba na madactari wengine πŸ’
 
Enzi za Wilbrod Slaa nakumbuka miaka ya 2010 vyama vyote walikuwa na harakati vyuoni. Mnyika, Silinde, na wengineo walitokea vyuoni. Leo hii mkuu wa chuo gani atabakia kwenye nafasi akiruhusu harakati za siasa kwa vyama vya upinzani. Naona tumebakia CCM kutamba peke yetu vyuoni. Hii ni sawa na kumfunga mtu mikono halafu unamtaka mpigane, utamuua tu.
 
Kwamba hawa vijana wasomi watakijanasha Chama au sio
vijanaa hao wasomi wa vyuo vikuu, wameamua kutumia ujuzi wao katika kuchochea maendeleo katika jamii zinazo wazunguka . Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana.

Well done CCM πŸ’
 
CCM wanatosha. Wana hekima na busara za kiwango cha juu mno,

ukilinganisha na vijana wa vyama vingine vya siasa waliojaa mihemko, ghadhabu, makasiriko na wanaporomosha matusi balaa...

sasa unamruhisuje mtu kama huyo kwenye mijadala huru vyuoni? Si atavunja meza na viti akishindwa hoja πŸ’
 
Labda ni wasomali
 
Chadema wameleta wanasheria wengi waliomaliza vyuo currently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…