Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tume ina mapungufu yake, lakini mapungufu hayo siyo yanayoletwa hapa na Zitto pamoja na Hamad. Mtu kutolewa kwa madai ya kushindwa kukidhi sheria ni jambo linalotakiwa lilalamikiwe tofauti kabisa na wanavyolileta wenyewe hapa. Kwa mfano waje na sentensi kama "Msimamizi wa Uchaguzi amesema mgombea wetu si raia wakati ni raia halali" siyo kusema wamewekewa pingamizi ambavyo siyo kweli, au kusema wametolewa kwa sababu za kipuuzi bila kuzitaja.
Hiyo ndio sababu waliyosema hao walioenguliwa au unasema wewe ??