Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mpaka sasa malalamiko hayajaweza kuthibitishwa kama kweli ni uonevu wa kusukwa na Magufuli; angalia taarifa niliyoleta kutoka gazeti la ZanzibarLeo hapo juu kama kweli nawe utasapoti malalamiko ya Zitto na Sheriff Hamad waliyoanza kutoa tangu jana. Taarifa rasmi ni hizo.; mmoja tu ndiye aliyewekea pingamizi, ankalipangua, wengine 10 hawakukidhi haja kisheria. wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wazenj, hakuna mtu wa bara hapo.
Acha kujitoa ufahamu kila kitu kiko wazi na labda anayejitia upofu yeye mwenyewe
Magufuli mwenyewe ameshatangaza wazi kuwa hawezi kuteua wakurugenzi awalipe mishahara na magari kisha watangaze wapinzani kushinda.
Hizi figisu kutoka kwa wakurugenzi ni sehemu ya kutekeleza agizo.
Magufuli ana uwezo wa kuagiza wakugurugenzi wake na NEC watende haki, akikaa kimya tunajua na yeye anahusika kwenye michezo hii ya dhulma dhidi ya wananchi!