Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Jambo la muhimu sasa ni kuhakikisha hao wagombea wa CCM wanabeba mshahara wa dhambi za CCM na wasimamizi wao wa uchaguzi. Maana ukweli ni kuwa ushetani wote unaofanywa na tume ni kwaajili ya kuhakikisha hao wagombea wa CCM wanapita bila kupingwa.Tume ina mapungufu yake, lakini mapungufu hayo siyo yanayoletwa hapa na Zitto pamoja na Hamad. Mtu kutolewa kwa madai ya kushindwa kukidhi sheria ni jambo linalotakiwa lilalamikiwe tofauti kabisa na wanavyolileta wenyewe hapa. Kwa mfano waje na sentensi kama "Msimamizi wa Uchaguzi amesema mgombea wetu si raia wakati ni raia halali" siyo kusema wamewekewa pingamizi ambavyo siyo kweli, au kusema wametolewa kwa sababu za kipuuzi bila kuzitaja.
Sasa njia sahihi ni kudili na hao waliopitishwa bila kupingwa.
Wapiga kura wasiingie kwenye mtego wa kusema kuwa wagombea wa CCM hawahusiki, hata wakawatenga na uovu. Hao ndio wawe victims wa kwanza wa uonevu.
Sent using Jamii Forums mobile app