Zanzibar 2020 Wagombea wa CCM Pemba wana haya ya kunena


Acha kujitoa ufahamu kila kitu kiko wazi na labda anayejitia upofu yeye mwenyewe

Magufuli mwenyewe ameshatangaza wazi kuwa hawezi kuteua wakurugenzi awalipe mishahara na magari kisha watangaze wapinzani kushinda.

Hizi figisu kutoka kwa wakurugenzi ni sehemu ya kutekeleza agizo.

Magufuli ana uwezo wa kuagiza wakugurugenzi wake na NEC watende haki, akikaa kimya tunajua na yeye anahusika kwenye michezo hii ya dhulma dhidi ya wananchi!
 

Huyo mzee apuuzwe, yuko biased, hayuko balanced anadhani michezo hii ya kuvuruga chaguzi katika utawala huu imeanza mwaka huu, wakati tuliyaona

1. Kuanzia kununua wapinzani njaa ili waunge mkono juhudi na bila haya kutumia fedha kodi za wananchi kurudia chaguzi unnecessarily

2. Chaguzi za marudio kufanyika kwa uhuni mtupu, tuliona hadi polisi wanabeba masanduku ya kura

3. Kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa ndo aibu ya karne, wanaengua takriban 95% ya wagombea wa upinzani

4. Leo wanaanza kuleta figisu, uharibifu wa uchaguzi waziwazi kabisa, watu wanaporwa fomu chini ya mtutu wa bunduki, wakurugenz wanafunga ofisi wapinzani washindwe kurudisha fomu, yanaandaliwa maingamizi feki

Nakuunga mkono, Huyu mzee Apuuzwe!
 
Kuna muda kama anakua neutral Ila ukipitia maandishi yake unagundua side yake. Hajifichi na yuko radhi kutetea huo upuuzi eti kwa mgongo wa kufuata sheria. Tume itende haki kinyume na hapo ni uhanithi kama alivyosema Maalim Seif.

Kuna jambo litawakuta hawatakaa waamini by the time wanataka upinzani ukae mezani wajadiliane nao muda hautokua upande wa wadhalimu.
 
yaani wewe unaamini maneno ya tume ya uchaguzi ya ccm lakini huamini maneno ya upinzani sasa tukueleweje
 


Magufuli na Lipumba waliwekewa pingamizi na Lisu , hilo tunajua hebu tuambie nani kawawekea pingamizi hawa wagombea ubunge wa ACT kutoka Pemba ???? ni Tume au nani ???
 
kwa mara nyengine we mpuuzi wa ccm msikilize maalim kaeleza hizo wanazosema hawakukidh matakwa ya kisheria
 
Hao wagombea wa CCM Kama wao hawahusiki wajitoe kwenye uchaguzi majimbo yabaki wazi
 
[
Wewe jamaa na elimu yako yote hii bado unatetea ujinga huu.

ukabila na ukanda unawamaliza
QUOTE="Kichuguu, post: 36532919, member: 348"]
Mpaka sasa malalamiko hayajaweza kuthibitishwa kama kweli ni uonevu wa kusukwa na Magufuli; angalia taarifa niliyoleta kutoka gazeti la ZanzibarLeo hapo juu kama kweli nawe utasapoti malalamiko ya Zitto na Sheriff Hamad waliyoanza kutoa tangu jana. Taarifa rasmi ni hizo.; mmoja tu ndiye aliyewekea pingamizi, ankalipangua, wengine 10 hawakukidhi haja kisheria. wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wazenj, hakuna mtu wa bara hapo.
[/QUOTE]
 
yaani wewe unaamini maneno ya tume ya uchaguzi ya ccm lakini huamini maneno ya upinzani sasa tukueleweje
Nishaweka msimamo, huyo ni waku puuzwa. Unafahamu kujadiliana na mtu ambaye ana mahaba na tume+JPM regime inabidi uwe mnafiki nami kwenye hili unafiki sitaki.
 
wewe ni extremely useless, i thought ungeonyesha kifungu ambacho kinachosema

1. Tume inawezakumwengua mgombea bila sababu na hakuna kuhoji wala kupinga.
2. Tume inaweza foji barua za pingamizi ili kumwondoa mgombea.
Kama kifungu hicho hakipo basi hiyo ref uliyoonyesha hapo sio mahali pake.
Hivi kufoji mibarua na misahihi sio jinai? Watanzania tuache kutete ujinga, mpaka sasa hiyo tume imekosa kabisa uhalali wa kuwepo!
 
Wewe ndiyo bure kabisa kwa sababu ni kama unaoengea kwa kutumia uji kichwani; hakuna anayesema Tume imemwengua mtu bila sababu, kwanza hawakuenguliwa na tume bali walienguliwa na Msimamizi wa Uchaguzi, pili wasimamizi wa uchaguzi majimbo ya Pemba hawajatanganza majina yaliyopitishwa (mpaka jana walikuwa bado hawajapitisha). Wagombea wote wana haki ya kukata rufaa kwenye tume, lakini kabla hawajapeleka malalamiko yao kwenye tume wanapiga kelele.

haklafu unaona jinsi ulivyo mpungufu, unasema tume imefoji barua wakati swala lao halijafika kwenye tume, halafu pia hujaonyesha kama kweli kuna barua za kufoji bali unaungaunga maneno ya kusikia tu. Mtu yeyote akianza kuongeza kwa kwa jazba, ubongo huwa unakosa nguvu kabisa.
 
kwa mara nyengine we mpuuzi wa ccm msikilize maalim kaeleza hizo wanazosema hawakukidh matakwa ya kisheria
Nimemsikia; ameongea bila kuwa na uhakikia akitumia neno "nasikia" wengine kumi wameruhusiwa lakini bado nane.
 
[/QUOTE]

Unapoongea bila objectivity utafikia conclusion za aina yako; mimi ninaangalia mambo kwa mapana na merfu siyo kiufinyu kama wewe. Ukisikia kuwa wameenguliwa unapiga kelel kabla hujawa na uhakika kama yanayosemwa ni kweli au vipi. hata maalim angekuwa na uhakika angesema wazi wazi lakini alikuwa anaogea kwa vitisho na kuhisi kuonewa bila kufafanua ni nini kimetokea; mwishoni alisema tu anasikia wengine wameruhusiwa lakini bado wengine hawajaruhusiwa.
 
Kama tume inadanganya haina uhalali wa kuendesha uchaguzi.
Uchaguzi uhairishwe iundwe tume nyingine huru.
Hilo lingekuwa wazo zuri endapo likafanyika kwa nchi nzima ya Tanzania.Kiukweli Tume ya Uchaguzi yaani NEC/ZEC haikidhi kuitwa Huru kwa vigezo vyovyote halali.Imeundwa kimkakati na imejaa Makada wa CCM Mpya na hata baadhi ya watumishi wa idara nyeti.Haiwezi kutenda haki.
Tusipotezeane muda kubishania jambo la dhahiri namna hii kama mazuzu wanaocheza kombolela.
Tunataka Katiba na ndani yake Tume Huru na Taasisi za Serikali ziundwe upya.Hili lifanyike kabla/ikibidi baada ya uchaguzi.Nina uhakika Watanzania Mara hii wameamua kuyapata mabadiliko kwa kura zao au vinginevyo ikibidi.Watawala wawe makini!
 
Modified Jecha Style?
 
Hiyo minong’ono ya kwamba kapewa sumu ipo Mkuu maana Mkapa alishaanza kuwa mwiba kwa huyo anayejiita KICHAA kwa kupinga kuendelea kuwepo madarakani baada ya awamu mbili na pia kutaka uwepo wa Tume huru ya Uchaguzi.

Hivi kifo cha Mzee hakiwezi kuwa kimesababishwa na haya madai??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…