Wagombea wa CHADEMA hawajui kujaza Fomu za Uchaguzi, hii kali

Wagombea wa CHADEMA hawajui kujaza Fomu za Uchaguzi, hii kali

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?

Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
 
Loketo ukimpa spika tu anaweka pembeni akili yote inahamia mdomoni. Tunawazoom tu. Watu watapigishwa deki sana mbona. Ila sanduku la kura Nunge.
 
Mzalendo na mpinga rushwa namba moja viongozi wake mafisadi na wala rushwa. Ukikamatwa mnakaa mezani mnakubaliana unaachiwa.
 
Sio kweli
Sababu ni hizi
Kubambikiwa kesi mfano mgombea wa mtama Seleman Mathew Luwongo kabambikiwa kesi ya rushwa, uporaji wa fomu, utekaji na vipigo refer case ya ruangwa na kavuu.
 
With respect wewe ni mchumia tumbo na hujui namna ya ku-foster maendeleo ndani ya nchi
 
Kwa matukio wanayofanyiwa kila kukicha kama bado chama kinawagombea basi wao ni Chuma tena Vyuma vya mjerumani sio kwa Vitisho wanavyoptia kuna upumbavu mwingi sana unaendelea hawakati tamaa
 
Kwa matukio wanayofanyiwa kila kukicha kama bado chama kinawagombea basi wao ni Chuma tena Vyuma vya mjerumani sio kwa Vitisho wanavyoptia kuna upumbafu mwingi sana unaendelea hawakti tamaa


Labda hata wewe wanakudanganya pia, ...
 
Only in Tanzania...
Kujaza fomu ni muhimu kuliko wananchi kupata watu tofauti wa kuchagua


Dunia iko hivyo na ndiyo maana ya taratibu, mfano unaweza ukafulu mitihani yote kwa miaka 5 ya elimu yako lkn mwaka wa mwisho ukafeli somo 1 tu, haupati Cheti kama mhitimu na wala hauwezi kuajiriwa kama msomi wa hiyo fani yako, sasa kwa nini? Kumbuka tofauti ya wewe na yule aliyepata Cheti ni somo 1 tu, lkn yeye anaitwa labda daktari na wewe siyo daktari, sasa kwa nini?

Kama masharti ya uchaguzi yanakutaka ujaze fomu vizuri ili uweze kufuzu kupitishwa kuwa mgombea ni lazima ufanye hivyo, ukishindwa haupiti, ndiyo ukweli wa maisha huo, hivyo ndiyo maana watu clever huwa makini na kila kitu, ...
 
Watu wanaporwa fomu zao watu wanapigwa mapanga watu wanatishiwa maisha na familia zao halafu mleta mada anazungumzia watu kushindwa kujaza fomu za kugombea.

Mbona huongelei watumishi wa umma waliofunga ofisi nankuacha/kukataa kupokea fomu za wagombea wa upinzani.?
Hata kama una njaa lakini tumia ubongo wako vizuri.
 
Usifananishe vyeti vya kuhitimu au kufuzu na fomu zakuombea kura, kuna tofauti kati ya Kupata cheti/kufuzu mafunzo na kujaza fomu au kwenye fomu kuna Course?

Mataga buana sijui mpo mpoje yaani.
 
Back
Top Bottom