Wagombea wa CHADEMA hawajui kujaza Fomu za Uchaguzi, hii kali

Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?

Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?

Umesema vizuri sana. Ili kuondoa sintofahamu hizi, nakala za fomu za wagombea WOTE zingebandikwa hadharani ili kuthibitisha ukweli kuwa Chadema, ACT Wazalendo wote ni mazuzu ambao kitu kidogo kama kujaza fomu hawawezi na ni CCM peke yao ndio wenye uelewa.

Amandla...
 
Usijifanye haujui yanayoendelea Tanzania...
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?

Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
 
Hizo form za NIDA wewe ulijaza? mbona fomu ikikosewa unapewa nyingine kwanini fomu ziwe kama hukumu ya Uchaguzi wasimamizi wamewekwa pale waangalie makosa wayashabikie au watoe maelekezo sahihi kwa wanchama sijaziona hizo form ila nadhan hata vipengele vilivyowekwa vimewekwa kimkakati ni vile tu hatujui nani kajaza nini utakuta kilekile kilichojazwa na waliokosea ndo kimejazwa kwa mataga bt sababu ya dola wanaona wamewin haya buana............................
Fomu zipo NHIF
Form zipo NSSF
Form zipo vyuoni
Form zipo kwenye mamlaka zote za serikali, mnataka kuaminisha watu kwenye taasisi zooote hizi na watu wooote waliopata vitambulisho walikuwa hawakosei kujaza Fomu kwani fomu ya Tume ni nini? ni daraja lakupunguzia watu? endeleeni na Mtaji wa wajinga mlio nao
Form hizo za uchaguzi ni mbinu na hiyo mbinu itajibu tu..................Fomu siyo kigezo cha kufelisha watu hii ni Technical trick mnayojisifu eti ushindi wa kisayansi haya buana...................Haya mambo mnafanya mtageukana wenyewe lazima hii laana iwatafune wenyewe kwanza
Point ni hii kama kinachotakiwa kwenye form na wewe hujakiweka,au umekikosea hupati NIDA hadi kila jambo litimie.
KWa NEC haupiti vile vile ndio wakawashauri wakijaza form wazileta mapema kuhakiki kama alivyofanya Bw Membe.
Tatizo ni kujitia ujuaji.
 
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?

Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
Pimbi kweli wewe , gifted fool hivi mnavyoumiza watu kwa mapanga kujeruhi , kuvamia wagombea wa upinzani , kujificha na kufunga milango ya wakurugenzi mnajiona wajanja ? Ipo siku yenu mtatafuta pa kujificha na msipaone na mhutu wenu.
 
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?

Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
 
Attachments

  • Screenshot_20200826-150449_Chrome Beta.jpg
    Screenshot_20200826-150449_Chrome Beta.jpg
    83.7 KB · Views: 12
Point ni hii kama kinachotakiwa kwenye form na wewe hujakiweka,au umekikosea hupati NIDA hadi kila jambo litimie.
KWa NEC haupiti vile vile ndio wakawashauri wakijaza form wazileta mapema kuhakiki kama alivyofanya Bw Membe.
Tatizo ni kujitia ujuaji.
Kwa form za NIDA tu zilitosha watu hata nusu wakose vitambulisho sidhani kama ni muda ni janja janja ya kikundi flani ...ambacho kina kilaa kitu lakini bado kimejawa hofu fomu wamejaza vizuri dola wameshika yote, lakini bado wanataka wenzao watoweke kwenye uso wa dunia hiiiii naangalia nasema hiiiiii.............
 
Afadhali unajua CCM ni opponent,lakini humu humu Chadema bado kuna watu sio serious,au wanafanya biashara na CCM.
Bahati mbaya hakuna anaejali hilo.Iweje Morogoro wapishe CCM majimboni 6 bila majibu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Hivi pingamizi la CHADEMA dhidi ya Magufuli ni nini kati ya mapingamizi yanayo ruhusiwa kisheria?!
 
Hivi kwa akili ndogo tu, unaweza ukaamini kuwa CHADEMA au Chama chochote cha upinzani pekee ndo ambao hawasomi kilichoandikwa kwenye fomu mpaka wakosee wao tu.
Haihitaji uwe na elimu kubwa kutambua hizi figisu zinazofanywa dhidi ya CHADEMA/Vyama vya upinzani
 
Back
Top Bottom