Kwa matukio wanayofanyiwa kila kukicha kama bado chama kinawagombea basi wao ni Chuma tena Vyuma vya mjerumani sio kwa Vitisho wanavyoptia kuna upumbafu mwingi sana unaendelea hawakti tamaa
Kwa akili nilizonazo kabla sijaambiwa chochote upuuzi kama upuuzi nauona bila kuambiwa wala kudangywaLabda hata wewe wanakudanganya pia, ...
Only in Tanzania...
Kujaza fomu ni muhimu kuliko wananchi kupata watu tofauti wa kuchagua
Hii tume ya CCM mwisho wake umefika