mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Nimependa hoja yako eti madai wako Smart ndo maana hawakosei.....................Kweli Ujinga mtaji
Dunia haipo hivyo usidanganye watu kwa hiyo tuseme watu waliokosea kujaza form za NIDA wasipate vitambulisho vyao sababu walikosea kujaza fomu,Mataga Ujinga wenu ndo mtaji...wa chama Kudadadeki.Dunia iko hivyo na ndiyo maana ya taratibu, mfano unaweza ukafulu mitihani yote kwa miaka 5 ya elimu yako lkn mwaka wa mwisho ukafeli somo 1 tu, haupati Cheti kama mhitimu na wala hauwezi kuajiriwa kama msomi wa hiyo fani yako, sasa kwa nini? Kumbuka tofauti ya wewe na yule aliyepata Cheti ni somo 1 tu, lkn yeye anaitwa labda daktari na wewe siyo daktari, sasa kwa nini?
Kama masharti ya uchaguzi yanakutaka ujaze fomu vizuri ili uweze kufuzu kupitishwa kuwa mgombea ni lazima ufanye hivyo, ukishindwa haupiti, ndiyo ukweli wa maisha huo, hivyo ndiyo maana watu clever huwa makini na kila kitu, ...
Usifananishe vyeti vya kuhitimu au kufuzu na fomu zakuombea kura, kuna tofauti kati ya Kupata cheti/kufuzu mafunzo na kujaza fomu au kwenye fomu kuna Course?
Mataga buana sijui mpo mpoje yaani................
Eti wanamsemo wao wanasema wanashindana kisayansi...Ccm wana mbinu sio mchezo.
Yaani hata uchaguzi bado watu wameshabeba majimbo.
Upinzani mwaka huu wamepigwa T.K.O MOJA MBAYA SANAA. [emoji16][emoji16]..
Kufumb na kufumbua wabunge wao wamepita
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Only in Tanzania...
Kujaza fomu ni muhimu kuliko wananchi kupata watu tofauti wa kuchagua
bado naendelea kusisitiza tujikite kwenye kutatua shida za watanzania, umasikini uliokithiri n.k,,
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Ni ujinga. Huu mchezo ulianza tangu chaguzi za serikali za mtaa. Hawakosei kujaza ila kwa makusudi wasimamizi wanasingizia kukosea kujaza. Fomu ziko rahisi sana. Waliopita bila kupinga wawekewe pingamizi tu.Nimependa hoja yako eti madai wako Smart ndo maana hawakosei.....................Kweli Ujinga mtaji
Tunatia aibu kubwa nakuonesha akili zetu watanzania duni sana.
Ujazaji form unaonekana Bora kuliko kupata viongozi sahihi.
Ni kweli kabisa hebu fikiri kitu cha namna hiyo halafu mtu anakuja kifua mbele nakujinadi hata kama watu wana njaa wawe na adabu na utu, njaa isiwafanye wakashindwa kutumia ubongo wao vizuri yani Mataga wana njaa za kudhalilishwa na kujidhalilishaNi ujinga. Huu mchezo ulianza tangu chaguzi za serikali za mtaa. Hawakosei kujaza ila kwa makusudi wasimamizi wanasingizia kukosea kujaza. Fomu ziko rahisi sana. Waliopita bila kupinga wawekewe pingamizi tu.
Kama hajui kujaza form na tume imempitisha, tume itakua ni uozo!
Kwa akili yako ukadhani kwamba maraa zoote walizoshiriki leo hii akili za kujaza zimewatoka? uzuri unajiuliza na kujijibu mwenyeweHuo ni mfano tu nimetoa sasa kama unashindwa kuoanisha hiyo ni kazi ngumu sana kwangu, chadema wanajua kabisa kinachopaswa kufanyika, masharti yalivyo na wanajua fika kwamba kutokujaza fomu vizuri kutapelekea fomu yako kukataliwa, yote haya wanayajua sasa kwa nini hawazingatii? Kuna haja gani ya kuweka masharti kama hatutaki kuyafwata? Ni uchaguzi wa ngapi huu chadema wanashiriki?
Hata aibu ya kupost ujinga kama huu huna. Umenikumbusha katuni moja ya bondia akizipiga na bondia mwingine aliyefungwa pingu mikono yote miwili kwa nyuma, halafu huyu aliyekuwa huru akawa anajisifu, ''huniwezi wewe, hukatizi hapa nk'' Shame on ccm inayotegemea polisi na nec. Si mnasema mmejenga madaraja? oh by 2020 hakutakuwa na upinzani nk, sasa hofu ya nini?Jamaa (Tundu Lisu) yuko kila mahali, vitisho kila kona lkn anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao? Wakati mwingine nafikir chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
Ukikosea NIDA hawakupi cheti.Ni sawa kwenye mtihani unaambiwa jibu maswali matano kati ya maswali manane.Au unaambiwa tick kimmoja wapo ,wewe unatick vyote.Au Ambatanisha picha yako hapa,wewe unasahau kuweka picha.Dunia haipo hivyo usidanganye watu kwa hiyo tuseme watu waliokosea kujaza form za NIDA wasipate vitambulisho vyao sababu walikosea kujaza fomu,Mataga Ujinga wenu ndo mtaji...wa chama Kudadadeki.
Hizo form za NIDA wewe ulijaza? mbona fomu ikikosewa unapewa nyingine kwanini fomu ziwe kama hukumu ya Uchaguzi wasimamizi wamewekwa pale waangalie makosa wayashabikie au watoe maelekezo sahihi kwa wanchama sijaziona hizo form ila nadhan hata vipengele vilivyowekwa vimewekwa kimkakati ni vile tu hatujui nani kajaza nini utakuta kilekile kilichojazwa na waliokosea ndo kimejazwa kwa mataga bt sababu ya dola wanaona wamewin haya buana............................Ukikosea NIDA hawakupi cheti.Ni sawa kwenye mtihani unaambiwa jibu maswali matano kati ya maswali manane.Au unaambiwa tick kimmoja wapo ,wewe unatick vyote.Au Ambatanisha picha yako hapa,wewe unasahau kuweka picha.
Vyama vyao vilitakiwa viwaandae hadi kuwakilisha form mkono kwa mkono.
Kuna wapinzani kwa makusudi wamejaza hovyo hovyo wakishachukuwa mpunga ili wakatwe.
MaCCM na akili za ugoro.
yani babu tale awe anajua kujaza form kuliko halima mdee??