Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?
Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
JPM MWENYEWE ANA KZ NASIKIA AMEKOSEA KUJAZA FOMU NA AMEPITISHWA SAFARI HII PINGAMIZI KILA KONAKama hajui kujaza form na tume imempitisha, tume itakua ni uozo!
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?
Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
Point ni hii kama kinachotakiwa kwenye form na wewe hujakiweka,au umekikosea hupati NIDA hadi kila jambo litimie.Hizo form za NIDA wewe ulijaza? mbona fomu ikikosewa unapewa nyingine kwanini fomu ziwe kama hukumu ya Uchaguzi wasimamizi wamewekwa pale waangalie makosa wayashabikie au watoe maelekezo sahihi kwa wanchama sijaziona hizo form ila nadhan hata vipengele vilivyowekwa vimewekwa kimkakati ni vile tu hatujui nani kajaza nini utakuta kilekile kilichojazwa na waliokosea ndo kimejazwa kwa mataga bt sababu ya dola wanaona wamewin haya buana............................
Fomu zipo NHIF
Form zipo NSSF
Form zipo vyuoni
Form zipo kwenye mamlaka zote za serikali, mnataka kuaminisha watu kwenye taasisi zooote hizi na watu wooote waliopata vitambulisho walikuwa hawakosei kujaza Fomu kwani fomu ya Tume ni nini? ni daraja lakupunguzia watu? endeleeni na Mtaji wa wajinga mlio nao
Form hizo za uchaguzi ni mbinu na hiyo mbinu itajibu tu..................Fomu siyo kigezo cha kufelisha watu hii ni Technical trick mnayojisifu eti ushindi wa kisayansi haya buana...................Haya mambo mnafanya mtageukana wenyewe lazima hii laana iwatafune wenyewe kwanza
Pimbi kweli wewe , gifted fool hivi mnavyoumiza watu kwa mapanga kujeruhi , kuvamia wagombea wa upinzani , kujificha na kufunga milango ya wakurugenzi mnajiona wajanja ? Ipo siku yenu mtatafuta pa kujificha na msipaone na mhutu wenu.Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?
Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
Bila shaka huu ni "Motto" wa Chadema wakati wa uchaguzi.Hii tume ya CCM mwisho wake umefika
Mnoooo kaka huwezi kufisha matumaini ya wananchi kwa miaka mitano eti kwasababu ESTA kaandikwa ESTERBila shaka huu ni "Motto" wa Chadema wakati wa uchaguzi.
Na kwanini huyo mgombea kwa mfano ashindwe kuandika jina lake kwa usahihi?Mnoooo kaka huwezi kufisha matumaini ya wananchi kwa miaka mitano eti kwasababu ESTA kaandikwa ESTER
Tundu Lisu yuko kila mahali, vitisho kila kona lakini anashindwa vitu vidogo sana kama tu kusimamia na kuhakikisha vinakwenda sawa, akina Halima Mdee wapo kila mahali kila siku Mahakamani kujifanya Wanasheria sasa kwa nini hawawasaidii wagombea wao?
Wakati mwingine nafikiri chadema hata hawajifahamu vizuri na wanaishi kwenye Dunia yao tu ya kujidanganya, hivi mnaamini kweli mtashinda huu uchaguzi kama vitu vya kiutaratibu tu yaani usimamizi hamuwezi?
Kwa form za NIDA tu zilitosha watu hata nusu wakose vitambulisho sidhani kama ni muda ni janja janja ya kikundi flani ...ambacho kina kilaa kitu lakini bado kimejawa hofu fomu wamejaza vizuri dola wameshika yote, lakini bado wanataka wenzao watoweke kwenye uso wa dunia hiiiii naangalia nasema hiiiiii.............Point ni hii kama kinachotakiwa kwenye form na wewe hujakiweka,au umekikosea hupati NIDA hadi kila jambo litimie.
KWa NEC haupiti vile vile ndio wakawashauri wakijaza form wazileta mapema kuhakiki kama alivyofanya Bw Membe.
Tatizo ni kujitia ujuaji.
Afadhali unajua CCM ni opponent,lakini humu humu Chadema bado kuna watu sio serious,au wanafanya biashara na CCM.Kwa form za NIDA tu zilitosha watu hata nusu wakose vitambulisho sidhani kama ni muda ni janja janja ya kikundi flani ...ambacho kina kilaa kitu lakini bado kimejawa hofu fomu wamejaza vizuri dola wameshika yote, lakini bado wanataka wenzao watoweke kwenye uso wa dunia hiiiii naangalia nasema hiiiiii.............