Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge


Lijua kali kawakosea nini sasa na kesho anaitwa mahakamani.
 
Mwalimu Ryoba yeye hakugombea?
 
Chadema mmeacha kujadili mafuriko mmeanza kujadili teuzi za Ccm[emoji2][emoji2]
 
Jee umepata kijiuliza Jimbo la Segerea John Mrema alishika nagasi ya ngapi? leo ndio mgombea wa Chadema. kawaida tuu kwenye mavyama.
 
Hapa naiona dalili ya chama kumeguka
Ngoja kimeguke kwa faida ya upinzani hasa CHADEMA. Lakini viongozi wa CHADEMA wajiandae kujibu tuhuma zilizokuwa zinazitoa na hao wahamiaji dhidi ya M/Kiti kwa kuwa wanazo siri nyingi kuliko anayobwatuka mgombea wao wa Urais.
 
gwajiboya kashashindwa Mdee tena 2020
 
Upinzani mnapiga kelel kuliko...

Naona Magu kacheza na akili zenu hapa mnajifariji na kutema sumu mkijidai ccm damu na wajumbe[emoji3][emoji3][emoji3].

Icho kikosi walichopanga upinzani kuchomoka siyo rahisi.
 
sio wote,Kuna wa kinondoni na monduli ia
 
Kwa wafia chama wenzetu kweli inauma sana!! Ni kamanumefiwa na mwanao!!

Miaka 5 unakipigamia chama jimboni ufe wewe chama kipone..kura za maoni unaongoza vibaya...anakuja mvamizi wa chama anapata kura 2 afu eti anabebwa...aisee inaumaa!!
 
Mkuu mtoa hoja...ili hoja yako iwe nzuri zaidi ungetuwekea a matokeo yao kura za maoni katika kila jimbo husika... ingependeza zaidi kuonyesha uhalisia wa hoja yako.
 
Wenye Uchungu na CCM wamekatwa Waliokuwa Wanaitukana CCM Wateuliwa Poleni Wafia Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…