Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Lijua kali kawakosea nini sasa na kesho anaitwa mahakamani.