Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

..Gwajima ana mambo fulani ya kitoto, na mapepe.

..Halima Mdee ataonekana kuwa mgombea aliyetulia, na mwenye uzoefu.

..Gwajima ataonekana anajua zaidi dini, na Halima ataonekana anajua zaidi siasa.

cc Matola
Mbona ni fundi wa siasa vilevile Yule mtu, kipaji cha kuongea hata siasa kipo damuni mwake, huu ni mchuano mkali mno ambao mpaka Hivi sasa, macho na maskio ya wengi yatahamia kawe
 
Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa.

Gwajima ni Level ya kumuweka mdahalo na Dr Slaa, Tundu Lisu, mchungaji Msigwa and likes.
 
Mbona ni fundi wa siasa vilevile Yule mtu, kipaji cha kuongea hata siasa kipo damuni mwake, huu ni mchuano mkali mno ambao mpaka Hivi sasa, macho na maskio ya wengi yatahamia kawe

..ni fundi wa "siasa" akiwa kanisani kwake.

..huku nje anatakiwa mtu anayeweza kuunganisha watu wa imani tofauti-tofauti.

..sasa Gwajima yeye ni wale Wakristo mahafidhina / radicals.

..pia yale mapepe na makeke yake ya kule Kanisani hayafanani na haiba za Wabunge.

..hata kama Halima alikuwa na matatizo[mtukutu], lakini huwezi kumbadilisha kwa kumchagua Gwajima.
 
Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa.

Gwajima ni Level ya kumuweka mdahalo na Dr Slaa, Tundu Lisu, mchungaji Msigwa and likes.

..nadhani underrate Halima Mdee, she is a skillful debater.

..Halima anaweza kusimama na hao wote uliowataja hapo juu.

..hebu msikilize Halima hapo kwenye video clip halafu uniambie kama Gwajima anaweza kuchangia kwa kiwango hicho.

Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na

Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Hawa tunawaachia wapiga kura kzmapema kbs wasaliti hawajawahi kutoboa
 
huku nje anatakiwa mtu anayeweza kuunganisha watu wa imani tofauti-tofauti.
Swala la udini Tz limebaki Kwa Watanzania wachache wenye vichwa vibovu pekee

Mf, safu nzima ya Chama cha Chadema 95% ni wakristo lakini Bado inapendwa na watu wote bila kubagua, na mkiendekeza udini nyie ndio wa kuathirika zaidi

Udini ni dubwasha linalochelewesha nchi zetu kupiga hatua
 
..Ni kweli kwamba waTz wame-moveon kwenye mambo ya udini.

..sasa ukiwaletea mgombea MHAFIDHINA kama Gwajima ni kuwarudisha waTz kule ambako walishaondoka.
 
Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa.

Gwajima ni Level ya kumuweka mdahalo na Dr Slaa, Tundu Lisu, mchungaji Msigwa and likes.
Na wote wataishia kukasirika kabla hata Gwaji boy hajakunywa hata maji, Gwajima chombo ingine hiyo, sjui watamziba na kitu gani ili asiongee 😄😄😄😄

Mdee kapatikana aisee
 
Wajumbe tunaendelea kuwakataa wote ambao tuliwakataa toka mwanzo, labda watapigiwa kura na halmashauri😇
Nalog off
 
Back
Top Bottom