Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mwana Fa ni kada na anastahili kupewa hiyo nafasi.Eti mwana fa naye
Tatizo liko wapi? Kama ni elimu Mwana Fa ni level ya Masters, what is ur point?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana Fa ni kada na anastahili kupewa hiyo nafasi.Eti mwana fa naye
Mbona ni fundi wa siasa vilevile Yule mtu, kipaji cha kuongea hata siasa kipo damuni mwake, huu ni mchuano mkali mno ambao mpaka Hivi sasa, macho na maskio ya wengi yatahamia kawe..Gwajima ana mambo fulani ya kitoto, na mapepe.
..Halima Mdee ataonekana kuwa mgombea aliyetulia, na mwenye uzoefu.
..Gwajima ataonekana anajua zaidi dini, na Halima ataonekana anajua zaidi siasa.
cc Matola
Alishawahi kumsaga mkeo au mama yako?
Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa...Gwajima ana mambo fulani ya kitoto, na mapepe.
..Halima Mdee ataonekana kuwa mgombea aliyetulia, na mwenye uzoefu.
..Gwajima ataonekana anajua zaidi dini, na Halima ataonekana anajua zaidi siasa.
cc Matola
Walisha kula Chao wana subiri tena baada ya miaka 5 wale tena sasa hivi walisha wasahau wagombea!Kumbe wajumbe ni wapumbavu???
Mbona ni fundi wa siasa vilevile Yule mtu, kipaji cha kuongea hata siasa kipo damuni mwake, huu ni mchuano mkali mno ambao mpaka Hivi sasa, macho na maskio ya wengi yatahamia kawe
Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa.
Gwajima ni Level ya kumuweka mdahalo na Dr Slaa, Tundu Lisu, mchungaji Msigwa and likes.
Hawa tunawaachia wapiga kura kzmapema kbs wasaliti hawajawahi kutoboaWabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Swala la udini Tz limebaki Kwa Watanzania wachache wenye vichwa vibovu pekeehuku nje anatakiwa mtu anayeweza kuunganisha watu wa imani tofauti-tofauti.
Kawe ipi hiyo unayoishi?!Mm nnaishi kawe hapa kawe halima hana chake amin nakwambia
Nitawashangaa wana Kawe wakimchagua tena msagajiCCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.
Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake
Swala la udini Tz limebaki Kwa Watanzania wachache wenye vichwa vibovu pekee
Mf, safu nzima ya Chama cha Chadema 95% ni wakristo lakini Bado inapendwa na watu wote bila kubagua, na mkiendekeza udini nyie ndio wa kuathirika zaidi
Udini ni dubwasha linalochelewesha nchi zetu kupiga hatua
Wacha tuone mwisho wake..Ni kweli kwamba waTz wame-moveon kwenye mambo ya udini.
..sasa ukiwaletea mgombea MHAFIDHINA kama Gwajima ni kuwarudisha waTz kule ambako walishaondoka.
Na wote wataishia kukasirika kabla hata Gwaji boy hajakunywa hata maji, Gwajima chombo ingine hiyo, sjui watamziba na kitu gani ili asiongee 😄😄😄😄Basi kama ulikuwa unadhani unamjuwa Gwajima elewa kwamba humjuwi kabisa.
Gwajima ni Level ya kumuweka mdahalo na Dr Slaa, Tundu Lisu, mchungaji Msigwa and likes.
WamoRidhi 1 na junuar vipi huko