Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu."
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza hawa wagombea ni njia gani au mbinu watakazo tumia kuajiri vijana. Kusema kweli hii kauli ni too "Hypothetical" ukiangalia vijana ambao hawana ajira na uwezo ambao serikali inaweza kuajiri. Tunataka mifumo thabiti amabyo inaonesha kweli wamethamiria kutatua hii changamoto kama vile kupunguza kodi kwa biashara ndogondogo ili kuvutia vijana kuanzisha biashara. Tumechoshwa na ahadi zao za uongouongo.
=====================
Chanzo: ITVVijana wa jimbo la Msalala, wilayani Kahama wameomba kero zinazokwamisha maendeleo yao kiuchumi ziwe kipaumbele kwa viongozi watakaochaguliwa kushika madaraka kwenye uchaguzi mkuu. Vijana wa maeneo hayo wamesema uhaba wa ajira, ukosefu wa mikopo nafuu na utoaji wa elimu ya stadi za kazi ndivyo vikwazo vikubwa vinavyowakwaza zaidi na kusababisha idadi kubwa ya vijana kubakia mitaani wakiranda kutafuta ajira.
Akinadi sera kwenye mkutano wa kampeni, Mgombea bunge jimbo la Msalala kupitia Chama Cha Mapinduzi Bw. Mabula Magangila amewaahidi vijana, wanawake, wakulima na wafugaji kupewa kipaumbele cha utatuzi wa kero zao kupitia ilani ya chama hicho. Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa amewaomba wananchi kuwapa kura wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya Urais hadi Udiwani ili kuhakikisha vipaumbele vilivyoainishwa kwenye ilani vinatekelezwa
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza hawa wagombea ni njia gani au mbinu watakazo tumia kuajiri vijana. Kusema kweli hii kauli ni too "Hypothetical" ukiangalia vijana ambao hawana ajira na uwezo ambao serikali inaweza kuajiri. Tunataka mifumo thabiti amabyo inaonesha kweli wamethamiria kutatua hii changamoto kama vile kupunguza kodi kwa biashara ndogondogo ili kuvutia vijana kuanzisha biashara. Tumechoshwa na ahadi zao za uongouongo.
=====================
Chanzo: ITV