Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Chuki binafsi tu inakusumbua. Hata kuandika kunakusumbua .. Lissu yuko vizuri compare to other 14 .

Nilitamani hata wanaotuongoza wawe na uwezo wa aina hiyo. Lakini wapi !!.
 
Eti nawe unamkosoa Lissu ?!
 
Chadema mna kazi ya ku m coach mgombea wenu hasa kwenye eneo la kunadi sera za Chadema yuko very weak
 
Kwa zile kura m29 za Tume.
Mlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura wakati nec imetangaza!

Huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?

Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,

Mwaka huu Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura.
 
Chadema mna kazi ya ku m coach mgombea wenu hasa kwenye eneo la kunadi sera za Chadema yuko very weak
Polee sana kilaza Yehodaya. Kwa uwezo aliouonesha Lissu kwenye kipindi cha dk 45 Jana najua ni lazima mchanganyikiwe. Nakuelewa kwa kweli kwa huu ujinga ukioleta humu, ni lazima mchanganyikiwe. Lissu kabadirisha mawazo ya watanzania wengi sana jana. Na ni ukweli anaenda kupata kura nyingi sana za kumuingiza Ikulu mwaka huu hapo tarehe 28 October. Maombi yangu ni kuwa Mungu ambariki na amwezeshe kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 kwa Jina Lake Takatifu Yesu Kristo. Amina!
 
Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufili ni dhaifu sana,
ndugu uko serious na hayo maneno unayoyasema kweli? jpm ni imara kuliko unavyofikiri lakini nafikiri unatania tu lakini kama uko serious basi utakuwa na matatizo huko kichwani
 
Hebu muulize,maana tume inafanya kazi kwa maelekezo kutoka ccm,huyo mpinzani atashindaje kwa mgano?
Wala tume iko huru kabisa.

Lakini wakati nec imetangaza tarehe za watu kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura, chadema walihamasishana kwamba wasiende kwa kusema hawana muda mchafu,
Wakati huo wajumbe wa ccm walikuwa wanapita kila kaya kuhamasisha kina mama kwenda kujiandikisha.

Haya huyo Lisu atapigiwa kura na mawe?
 
Chadema mna kazi ya ku m coach mgombea wenu hasa kwenye eneo la kunadi sera za Chadema yuko very weak
Yehodaya , Wewe mkereketwa unamchukia Lissu kwa uwezo wake. Lakini kumbuka mgombea wako , juzi amesema anampenda na angependa ampe kazi serikalini. Sasa wewe unapata wapi jeuri ya kuhoji uwezo wa Lissu ?!
 
Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,

===
Baada ya Kumsikiliza Lissu wote hawa watamchagua Lissu
 
Bosco must go , Abantu bangi tutelela Chadema, Also 45 Itv isn't campaign forum,
 
Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufili ni dhaifu sana,
Duh una moyo mgumu hadi raha,yaani unaamini kabisa maji yanaweza panda mlima?
 
Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,

===
Baada ya Kumsikiliza Lissu wote hawa watamchagua Lissu
Pole sana kijana!
 
Tunataka watendaji sio waongeaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…