Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Chuki binafsi tu inakusumbua. Hata kuandika kunakusumbua .. Lissu yuko vizuri compare to other 14 .Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kibao cha uraisi ya mkwewe hakuomba kura
Nilitamani hata wanaotuongoza wawe na uwezo wa aina hiyo. Lakini wapi !!.