Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Lissu ni zaidi ya mgombea, kile alichokifanya jana pale ITV ni kama mwalimu, aliefanya kazi ya kuwaelewesha wapiga kura wasiojua sera za chama chake, naamini wengi watakuwa wamemuelewa watampa kura zao, wewe mleta mada unahangaika tu.
Clip ya Yale mahojiano, nitaipata wapi ?!
 
Kiukweli jamaa hajajipanga kisera na hata hoja zake hazina mashiko ni heri angegombea ubunge tu maana naona kama urais sio mda wake kwa sasa
 
Wagombea wengine kina nani maana magufuli anaogopa media
 
Hicho kipindi kilikuwa ni cha wagombea kuomba kura? Aliyemwalika alihitaji aende na sera? Riziki ya mtu i miguuni mwake. Kama ni #yeye2020 atabaki yeye tu hata kama haja kidhi vigezo vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…