Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Clip ya Yale mahojiano, nitaipata wapi ?!Lissu ni zaidi ya mgombea, kile alichokifanya jana pale ITV ni kama mwalimu, aliefanya kazi ya kuwaelewesha wapiga kura wasiojua sera za chama chake, naamini wengi watakuwa wamemuelewa watampa kura zao, wewe mleta mada unahangaika tu.