mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Bashite ataanza na mzee wa liquid atasema popote alipo akamatweMsanii Pierre Likwidi aongoza wagonjwa wa CORONA Amana Hospital Kuvunja geti na kukimbia. Wagonjwa wote wa Corona wamekimbia toka hospitalini hapo na kuingia mtaani. Inasemekana hali ni mbaya watu wamekuwa wakifya na kuhachwa hali iliyopelekea wagonjwa wengine kuamua kukimbia
Akili za Magufuliwapigwe risasi waonekanapo popote 😎 😎 😎
Akili itawakaa sawa kama anavyosema Kigogo@2014. Huu ni mwanzo makubwa bado kama hamtabadili uhuni wenu huu! as time goes on tutaanza kuona akaunti humu zinakuwa mute........Picha ni Amana lakini sauti kama ya Kigogo2014
Mke wa Billgate alikuwa anatuongea sisi?Kwa wehu wa hii nchi, na hapo bado. Maiti zitapanga msululu barabarani maana hata wanajeshi anaojivunia watapukutika na kuogopa kuziokota. UNLESS TUNABADILISHA HUU UHUNI WA KU HANDLE HII CATASTROPHE
Ushahidi muhimu,! We hujui tu watu wanavyokula matango pori kupitia social media siku hiziHuu ugonjwa wa kutaka uthibitisho ushahidi wa kila kitu ni ugonjwa mpya katika Jukwaa hill.Mfano kama mtu aliyeleta taarifa hii ni mmoja wa waliotoroka apige picha mwisho ashikwe.Tuombe ushahidi kwenye vitu vinavyoweza kuthibitishwa.
Weka picha tuone excavator likimzikaHalafu anazikwa na excavator kwanini?
Wewe hauko salama?Wewe acha kukurupuka unataka uambiwe habari zipi, aliye kuambia tupo salama nani? Huoni corona inavyo sambaa hata kwa mfano wa nchi zingine?
umepitia ITV?!Mleta taarifa huyo huyo nae ka comment mara kibao anauliza kama habali ni za kweli, sasa aliandika vipi bila kwenda kuangalia kisha ndo aje kuandika, hum kuna wazushi sana , mpaka ifike October mutaandika mpaka bongo zenu zifumuke.
watu mnapenda LigiWewe hauko salama?
Una ushahidi wa ndugu, jirani au rafiki mwenye maambukizi aliyetoroka kituoni?
Unachukua hatua gani kulinda uhai wako, wa familia, jirani, ndugu, na marafiki zako?
UMOJA NI NGUVU
Kama wagonjwa wanaweza kuvunja mpaka geti na kukimbia basi haka kaugonjwa ni kadogo sana bila shaka watapona...