Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Wameanza amana, sasa mwananyamala...,wengine watafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ITV breaking news wamethibitisha , mkuu wa wilaya kasema wagonjwa wametaka kurudi kwao ,japo hajathibitisha km wametoroka.Bila ushahidi picha Nk Ni chai isiyo na kitafunwa
Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga sana hilo, haya ndiyo yanafanya bei za vifurushi vya internet yanapanda kwa matumizi ya ovyo!Imepostiwa Instagram kakopi na kupesti
Wewe unakaa ZimbabweHizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili irahisishe uchimbaji maana ardhi kavu sana na ina miamba, kuchimba kwa sululu itakuwa kazi sana.Halafu anazikwa na excavator kwanini?
Wakaanze upya ni kama kukimbia shule ukirudishwa unaanza upya.wakitoka wapelekwe quarantine siku 14 tena.
Hao wa mwananyamala wameleta shida kufungiwa!!? ndio iwe Dar yote tafakari?!Makonda kimyaaa.
Yani hii issue itakuwa out of their hands. Na ni kwa sababu ya ukaidi wa magufuli.
Dar es salam intakiwa ifungwe
View attachment 1427674hivi rais magu hana washauri hashauriki ama?
Wanaenda kujiifukizia