Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Duh!
Hali tete sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali tete sasa..
Jamani jana usiku wagonjwa wa corona zaidi ya nusu wametoroka hospitali ya Amana. Wamevunja geti wamekimbia. So please kuweni makini huko mitaani.
Nashindwa kuwalaumu maana DM yangu imejaaa malalamiko ya ndugu za watu waliokuwa Amana wanasema wanafanywa kama wanyama. Hakuna huduma, hakuna nesi au madoctor wanaowasogelea. Yani you are on your own there. Na kama unagonjwa lingine litakuua maana hakuna huduma wanayoto.
Na vile covid-19 haina dawa so wanachukulia hiyo kama sababu ya kutowasaidia wagonjwa na dawa za kupunguza makali ya dalili za covid-19 kama dawa za kifua, au kupunguza homa au dawa za kichwa. Watu wanazidiwa wanashindwa kuhema ila hawapewi oxgen wala hawapelekwi ICU wanajifia wodini.
@ummymwalimu I know you are trying mama. You are doing your best but please do something kuhusu treatment ya wagonjwa wa corona kwenye mahospitali la sivyo watu wataogopa kuja hospitali watafia nyumbani kama huduma ndo hivyo na Matokeo yake yatakuwa maambukizi kuzidi.
Kaka wa shemeji yangu alikuwa Amana toka majuzi kisukari kimepanda hakuna treatment anayopewa anaambiwa asubiri majibu ya covid-19. Kwanini asipate huduma ya kisukari wakati wakisubiri majibu? Majibu yakatoka na bado hakuna huduma ya kisukari.
Ni mmoja kati ya watu waliotoroka jana usiku, sababu yake ya kutoroka ni anataka kwenda hospitali ingine kutafuta huduma ya kisukari na kasema akifika huko hatowaambia ana covid-19 ili wamsaidie. Na sasa anakaa gesti. Now this is dangerous jamani. This can’t be happening. Yani mpaka nimesisimka. Yani wagonjwa wanaogopa kusema wana corona ili wapewe huduma ya magonjwa yao mengine. [emoji24][emoji24][emoji30]
@ummymwalimu Tafadhali toa elimu kwa wahudumu wa afya wasiwaogope wagonjwa. .Hiyo ndio Kazi yao walioichagua,cha maana muwe mnawapa PPE. Kuwafungia wagonjwa wodini kama wanyama bila huduma yoyote sio kabisaaaa. Hakuna daktari wa zamu anapita kuangalia wagonjwa, wanawachungulia madirishani tu. Wanawasubiria wafe wakawazike.
Sent using Jamii Forums mobile app