Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wa kuthibitisha hili, ndiyo hao wanaotoa taarifa za wagonjwa 11 wamepona, kwingine wagonjwa 100, wamepona...

Tuzidi kujifanyia self isolation, quarantine wenyewe na familia zetu na wapendwa wetu...

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Kuna uwezekano pia wagonjwa wa magonjwa mengine wanawakimbia wagonjwa corona

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Watanzania itabidi muwe Makin Sana wakati huu sababu Kuna wagonjwa wa Corona wametoroka Amana hospital serekal yetu pia inabid iji tathmin Kwan hii ni hatari Sana.

Na habari hizi ni za kuaminika sababu Alie toa iz taarifa ni ness wa pale na wagonjwa walio toroka ni wengi so kuen Makin pia wakirud manyumban msisite kuripot kwa jili ya kujilinda na kwluwalinda tuwapendao.

Nanukuu kauli ya baadh ya wagonjwa. Wanadai wametoroka sababu ya kuto kupewa huduma



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau barakoa
IMG-20200421-WA0020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's very sad kama ni kweli..

Naamini kama ni kweli hawa wagonjwa wameweza kurusha mawe, kuvunja gate na kukimbia hadi kutokomea basi hali zao kiafya hazikua mbaya sana, wangeweza wakapewa elimu ya self isolation wanabaki majumbani.... japo nayo ni ngumu kumanage haswa kwa familia zetu ambazo chumba kimoja tunalala watu5

Pia Kama ni kweli limetokea ipo shida kiutawala na ni hatari kwa usalama wa wagonjwa hata wasiokua wa corona. Najiuliza amana mjini katikati hii mikikimikiki yote hadi wagonjwa kutokomea wauguzi na walinzi nao walikimbia?

Elimu inatakiwa kwa wagonjwa na wauguzi na supporting staffs wote kuhusu hili janga. Naamini wagonjwa hawa wangejua athari za wao kurudi majumbani wangewaza njia mbadala ya kukabilia na changamoto zao

Coronavirus haina dawa, kuwalaza wagonjwa hospitali ni kwaajili ya kupunguza maambukizi ndani ya familia na kuweza kuwapa support kwa kutumia vifaa kama ventilator

Coronavirus ni yetu sote haina chama wala dini, tajiri wala masiki, mswahili wa mzungu, mchina wa mwarabu, ili kuishinda vita hiii lazima tusimame pamoja
Cc Elli Mshana
 
Sasa huko walikotorokea!!!..... Ee mola tuhurumie, ukatuponye watu wako.
 
Wataalam wanasema kwamba kama una mpango wa kuua chawa ama viroboto jifukize, ila kwa covid19 kujifukiza hakuna manufaa.

Zaidi, unaweza leta madhara katika mfumo wa hewa wa ngozi, kwakua mfumo huo ni mahsusi kwa ajili ya hewa ya kawaida iliyopo katika mazingia, na sio ule moshi emited kipindi unapojifukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20200423-WA0016.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom