Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Mkuu, mtoa post ni mfuasi mtiifu wa Zitto Kabwe. Usitarajie chochote cha maana kutoka kwake zaidi ya spinning stories.
 
hatari hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeishaaaaa, tumeishaaaa, tumeishaaaaa, nawaambieni tumeishaaaa. 😭😭😭😭😭😭🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿
Hahahahaaaaaa mkuu acha woga tuko vitani ukiwa mwoga unawahi kusepa.
 
Leo wagonjwa wa corona inasemekana wamekimbia hospitalini amana chanzo kikidahi kuwa ni huduma mbovu walizokuwa wakipewa na kupelekea hofu kutanda huko jijini dar, inasemekana na pieree liquid ni miongoni mwa watu waliotoroka ,
Jamaa kakimbia spidi za kipchoge mwanariadha wa kenya🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20200423-145239.png
    120.7 KB · Views: 2
Maweeeee.......kwa hiyo jamaa wanasambaza korona Dar sasa hivi
 
Nenda Amana ukatuletee ukweli wenyewe
 
Pengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ikulu ya Chato
Heri kuwahi kujifukiza kwa malimao kuliko kukaa bila huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…