Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Rais mkemia kasema ..tuchape kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais mkemia kasema ..tuchape kazi
Mkuu, mtoa post ni mfuasi mtiifu wa Zitto Kabwe. Usitarajie chochote cha maana kutoka kwake zaidi ya spinning stories.Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari hii!Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.
Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?
Mungu atunusuru kwakweli.
---
UPDATES MWANANYAMALA
Wagonjwa waleta vurugu
Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.
Chanzo: radio1 breaking news
Hahahahaaaaaa mkuu acha woga tuko vitani ukiwa mwoga unawahi kusepa.Tumeishaaaaa, tumeishaaaa, tumeishaaaaa, nawaambieni tumeishaaaa. 😭😭😭😭😭😭🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿
Sio mbaya kujaribu kuliko kutojaribu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukifanikiwa kwa njia hii kutibu corona virus, itabidi tujaribu na kwenye UKIMWI maana na UKIMWI si unasababishwa na virus.
Nimejaribu kujitoa ufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Preason Break...Wameanza amana, sasa mwananyamala...,wengine watafuata
Em tusikie madai yao. Pengine wnasababu ya msingiWameanza amana, sasa mwananyamala...,wengine watafuata
mkuu kasema tujifukize yeye ni nani hata abishane na mkuu ?
Ninakubaliana na wewe mkuu. Watu wataikimbia Dar kwa ajili ya hofuHABARI NZITO NA YENYE TAHARUKI KAMA HII INATAKA UTHIBITISHO KUTOKA CHANZO CHA KUAMINIKA...
.Hujui....hutuba ya jana ya PJM imewatibua sana wabaya wa Taifa! .....sijui.....wagonjwa wamekimbia hospitali hata hakuna picha ya udhibitisho, bali tunaona picha za majengo tu!!
Nenda Amana ukatuletee ukweli wenyeweHizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri kuwahi kujifukiza kwa malimao kuliko kukaa bila hudumaPengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ikulu ya Chato