Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tutafanyaje sasa mkuu,ndiyo tulipofikia kama taifa......askari nawao ni binadamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani nimecheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ah ah dah huko nje wakitusikia watakua wanacheka sana
Hahahaaaaa..........hujui kuandika jina la mwenyekiti wako Manka!Nenda kamuulize boyfriend wako!!
Sasa awadanganye analipwa! Na ninaona kabisa tutapukutika sana kwa mizaha mizaha kama hivi, unafikiri corona haiwezi kufanya hivyo ulivyo sikia, ohh! nenda Amana kajihakikishie!
Sina chama, nipo kwa maslahi ya watanzania wenzangu, acha uchama na ninajua akili yako imekalia ki CCM tu.Hahahaaaaa..........hujui kuandika jina la mwenyekiti wako manka!
Kama ma vempire
Ah! Mbona poa tu, hata mimi ningetoroka, kama uginjwa hauna tiba unaniweka hospital nifanye nini? Bira warudi nyumbani tu tujetuwafukize muarubaini.Duh! Hii ni taarifa mbaya sasa.
Chattle kabisa l?? Pale pale kwenye kijiwe cha kahawa??Waseme wapo wapi niwapitie na Coaster yangu tukatalii Chattle tule Sato kuongeza Kinga ya mwili, au mods mnasemaje?
Wanaelekea Pori la BurigiSasa huko walikotorokea!!!..... Ee mola tuhurumie, ukatuponye watu wako.
umepata wapi hii habari au wewe ndio huyo nesi,huu sio uwanja wa habari za kimbea
Wataalam wanasema kwamba kama una mpango wa kuua chawa ama viroboto jifukize, ila kwa covid19 kujifukiza hakuna manufaa.
Zaidi, unaweza leta madhara katika mfumo wa hewa wa ngozi, kwakua mfumo huo ni mahsusi kwa ajili ya hewa ya kawaida iliyopo katika mazingia, na sio ule moshi emited kipindi unapojifukiza.
Sent using Jamii Forums mobile app