Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.

Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.

Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.

Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?

Mungu atunusuru kwakweli.
---

UPDATES MWANANYAMALA

Wagonjwa waleta vurugu


Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.

Chanzo: radio1 breaking news
Sasa kama hadi Piere liquid katoroka siitakuwa kashaingia bar
 
mabomu ya nyukilia yametegwa mitaani na very soon yanalipuka ...……...yaani apo mBio tuu ndiyo zitakazo tuokoa
 
Polisi pia wanawaogopa, wakiwasogelea wanaambukizwa.
Hiyo si hospitali tena ni mahabusu ya wahisiwa.
 
Sawa kama ni kweli, jikinge na fuata ushauri wa wataalamu. Mambo mengine Mungu anajua yeye
 
chama mpangala, Halafu ukikamatwa kwa upuuzi utalalamikia serikali?
kwanza unalifahamu geti la amana?

Unaifaham au kuwahi fika amana?
Umenifanya nitoke nje nione hapo amana getini kuna nini mwsho wa siku nmemuona mlinzi kapiga zake pozi tu,
Usipende kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.
Shauri yako usiseme hukuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
aibu yako[emoji41]
 
Back
Top Bottom