ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Tembelea ukurasa wa insta wa mangeReturn Of Undertaker, Fanya screen shot your DMs tukuamini hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembelea ukurasa wa insta wa mangeReturn Of Undertaker, Fanya screen shot your DMs tukuamini hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hadi Piere liquid katoroka siitakuwa kashaingia barKuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.
Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?
Mungu atunusuru kwakweli.
---
UPDATES MWANANYAMALA
Wagonjwa waleta vurugu
Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.
Chanzo: radio1 breaking news
Inawezekana. Ila tunaamini sana dawa kutoka kwa wazungu! Sio kutoka kwa hawa ambao tunaishi nao hapa hapachama mpangala,
Kwani hatuwezi kujitibu kienyeji tukapona?
Makubwa haya MTU anayetoroka anapiga picha kwanza siku hizi?? Haogopi hata kukamatwaBila ushahidi picha Nk Ni chai isiyo na kitafunwa
Hiyo DM imejaa wanamlalamikia yeye kama naniReturn Of Undertaker, Fanya screen shot your DMs tukuamini hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite ataanza na mzee wa liquid atasema popote alipo akamatwe
Inahitaji coordinated effortskwani watu wakifa wewe unadhurika nini?
ACHA WAFE .
WEWE JILINDE..
Mbona unaumia na vitu ambavyo viko natural.
yaani lazma watu lwazaliwe na lazma watu WAFE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahah sasa zile mambo za World war Z na am legend ndo zinatokea sasa kiuhalisia siyo movie tena woiiiiZombie apocalypse
Sent From Galaxy S9
ExactlyPengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ikulu ya Chato
Hapa lazima uchome system nzima ya upumuaji.
aibu yako[emoji41]chama mpangala, Halafu ukikamatwa kwa upuuzi utalalamikia serikali?
kwanza unalifahamu geti la amana?
Unaifaham au kuwahi fika amana?
Umenifanya nitoke nje nione hapo amana getini kuna nini mwsho wa siku nmemuona mlinzi kapiga zake pozi tu,
Usipende kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.
Shauri yako usiseme hukuambiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Uganda wagonjwa waliamua kuhama vyumba vyao na kutafuta vyumba vya jinsia tofauti na zao ili wamalize hamu zao. Chezeya njaa weye.Kufungiwa si mchezo
Hatari hioKuna wajinga wanawapinga wataalam na kuwasikiliza wanasiasa