Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Sio kila taarifa niyakupuuza kuna mengine kina kigogo na Mange wanapatia na wakipatia serkali inashindwa kujichomoa.
Screenshot_2020-04-23-14-44-21.jpg
Screenshot_2020-04-23-14-31-58.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.

Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.

Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.

Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?

Mungu atunusuru kwakweli.
---

UPDATES MWANANYAMALA

Wagonjwa waleta vurugu

Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.

UPDATE

Mkuu wa Wilaya Ilala ambayo ndiyo Wilaya yenye Hospitali ya Amana amethibitisha wagonjwa kutaka kuondoka ili wakajitibie nyumbani. Zaidi soma > Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani
Nasikia hao wa amana hadi piere liqid nae kakimbia
 
Eti wanalazimiisha…………… Dah...……. watahamisha mppaka wasemaji wa Hospital...….
 
DUUH ! BONGO SIHAMI KWAKWELI....HATA ULAYA WAMESHATUSHINDWA ! ASEE
Mkuu Chipoku unahama unaenda wapi………...Utafika huko ukose vihoja vyetu afu uanze kutuonea wivuu………..Ni wivu tu wazungu wanatuonea na kutaka tu-lockdowniwe…….tukoose kodi na mapesa ya watalii...uchumi wetu usikue kisha tusitawalike…….

Tuna miti ya kutosha kuzalisha majani ya kujifukiiza kwa wananchi wote nchi nzima pamoja na wao wazungu.

Ni wivu tu (In Gwajima's Loud Voice)
 
Katika kipindi ambacho serikari hii imejidhiirisha kama ni serikari ya hovyo na isiyojari utu na maisha ya watanzania basi ni kipindi hiki

Inawezekana VIP wagonjwa wasipewe huduma hata dawa katika kipindi hiki cha korona

Inawezekana VIP watu wanakufa na kuachwa ndani mpaka wagonjwa wanatoa maiti

Inawezekana VIP hospital ishindwe hata kupeleka madaktari kuwahudumia wagonjwa na pesa ya kununua vifaa tiba tunayo

Swali LA kujiuliza ni kwamba serikari imechoka kiasi inafanya mambo bora liende ?
Nani wa kuwajibishwa hapa?

Muuguzi wa zamu?
Daktari wa zamu?
Mganga mkuu wa hospital?
Mganganga mkuu wa wilaya?
Mkuu wa wilaya?
Mganga mkuu wa mkuu wa mkoa ?
Mkuu wa mkoa?

Waziri wa afya kwa hiki kilichotokea kama unamwogopa mungu na kujua kuwajibika ni bora ujitoe sadaka kwa kuachia ngazi maana haya yanatokea kwenye macho yako na ulituaminisha watanzania kua Tanzania imejipanga kukabiliana na hili janga la korona ila kwa kilichotokea kinatupa tafakuri kubwa kwamba serikari yetu sio sikivu tena na ipo kwa maslahi binafsi.

Hivi hizi pesa anazopokea waziri mkuu zinaenda kufanya nini kama amana tu hapa hakuna dawa za kuwahudumia wagonjwa Hali ipoje huku mikoani
Manataka kutuaminisha kwamba taarifa mnazotoa kila siku sio za kweli kwamba kuna mambo mnayaficha ili kupunguza taharuki kwa wanannchi?

Kama nnchi tuna deni kubwa tusipoweza kulimaliza hili lenye kubeba uhaia wa watu liatuaminisha kwamba tufanye mabadiliko makubwa sana kwenye hii nnchi. Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toba.

Tumeshafikia huko?

Wagonjwa wanafariki na hakuna wa kutoa msaada?

Wagonjwa wanakufa na kuachwa ndani!?

Mpaka inafikia Wagonjwa kujitolea wenyewe kwa wenyewe wasaidiane kutoa Maiti!

Hii hali inatisha.

Inatakiwa watu kuwajibika haraka iwezekanavyo
 
Katika kipindi ambacho serikari hii imejidhiirisha kama ni serikari ya hovyo na isiyojari utu na maisha ya watanzania basi ni kipindi hiki
Inawezekana VIP wagonjwa wasipewe huduma hata dawa katika kipindi hiki cha korona
Inawezekana VIP watu wanakufa na kuachwa ndani mpaka wagonjwa wanatoa maiti
Inawezekana VIP hospital ishindwe hata kupeleka madaktari kuwahudumia wagonjwa na pesa ya kununua vifaa tiba tunayo
Swali LA kujiuliza ni kwamba serikari imechoka kiasi inafanya mambo bora liende ?
Nani wa kuwajibishwa hapa?

Muuguzi wa zamu?
Daktari wa zamu?
Mganga mkuu wa hospital?
Mganganga mkuu wa wilaya?
Mkuu wa wilaya?
Mganga mkuu wa mkuu wa mkoa ?
Mkuu wa mkoa?
Waziri wa afya kwa hiki kilichotokea kama unamwogopa mungu na kujua kuwajibika ni bora ujitoe sadaka kwa kuachia ngazi maana haya yanatokea kwenye macho yako na ulituaminisha watanzania kua Tanzania imejipanga kukabiliana na hili janga la korona ila kwa kilichotokea kinatupa tafakuri kubwa kwamba serikari yetu sio sikivu tena na ipo kwa maslahi binafsi.
Hivi hizi pesa anazopokea waziri mkuu zinaenda kufanya nini kama amana tu hapa hakuna dawa za kuwahudumia wagonjwa Hali ipoje huku mikoani
Manataka kutuaminisha kwamba taarifa mnazotoa kila siku sio za kweli kwamba kuna mambo mnayaficha ili kupunguza taharuki kwa wanannchi?

Kama nnchi tuna deni kubwa tusipoweza kulimaliza hili lenye kubeba uhaia wa watu liatuaminisha kwamba tufanye mabadiliko makubwa sana kwenye hii nnchi. Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mama mmoja ametoa voicenote inazunguka Whatsap.

Kama huna connections na unahitaji nikupe, niambie.

Amezungumzia Hospitali ya Amana hali mbaya mpaka maiti zinakufa.

Wengi wamemlaumu kwamba maiti zinakufaje?

Kwa watu wa fasihi wanaweza kusema, that was a "Freudian slip".

A Freudian slip, is when you say something that was in the back of your mind.Apparently as mistake, but really as reality as you see it.

Kwa msingi huo, kuna watu wanaona Watanzania wanaoenda hospitali kama maiti, wanaenda hospitali kufarikia kwenye hospitali tu.

Hapi ndipo unapoweza kuoata hii dhana ya Alice in Wonderland ya maiti kufariki.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kuna video ya wagonjwa mwenyewe wakihangaika kutoa kutoa amana na wakishauliana watoroke hii inatia hasira sana aisee unaweza dhani nnchi haina viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom