Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani nacheka km mazuri 😀 😀 😛 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Sio kila taarifa niyakupuuza kuna mengine kina kigogo na Mange wanapatia na wakipatia serkali inashindwa kujichomoa.View attachment 1427922View attachment 1427923
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hao wa amana hadi piere liqid nae kakimbiaKuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.
Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?
Mungu atunusuru kwakweli.
---
UPDATES MWANANYAMALA
Wagonjwa waleta vurugu
Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.
UPDATE
Mkuu wa Wilaya Ilala ambayo ndiyo Wilaya yenye Hospitali ya Amana amethibitisha wagonjwa kutaka kuondoka ili wakajitibie nyumbani. Zaidi soma > Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani
Kwani yeye hana roho ya nyama ?!Nasikia hao wa amana hadi piere liqid nae kakimbia
Watu tumefukizwa mpaka tumekuwa watu wazima na hatujaungua njia za hewa. Huo u Dr. Wa Ndungulile ni very much brain washed.Kumbuka Dr Ndungulile ni bingwa wa magonjwa ya kuambukizwa.
Mkuu Chipoku unahama unaenda wapi………...Utafika huko ukose vihoja vyetu afu uanze kutuonea wivuu………..Ni wivu tu wazungu wanatuonea na kutaka tu-lockdowniwe…….tukoose kodi na mapesa ya watalii...uchumi wetu usikue kisha tusitawalike…….DUUH ! BONGO SIHAMI KWAKWELI....HATA ULAYA WAMESHATUSHINDWA ! ASEE
Kuna mama mmoja ametoa voicenote inazunguka Whatsap.Katika kipindi ambacho serikari hii imejidhiirisha kama ni serikari ya hovyo na isiyojari utu na maisha ya watanzania basi ni kipindi hiki
Inawezekana VIP wagonjwa wasipewe huduma hata dawa katika kipindi hiki cha korona
Inawezekana VIP watu wanakufa na kuachwa ndani mpaka wagonjwa wanatoa maiti
Inawezekana VIP hospital ishindwe hata kupeleka madaktari kuwahudumia wagonjwa na pesa ya kununua vifaa tiba tunayo
Swali LA kujiuliza ni kwamba serikari imechoka kiasi inafanya mambo bora liende ?
Nani wa kuwajibishwa hapa?
Muuguzi wa zamu?
Daktari wa zamu?
Mganga mkuu wa hospital?
Mganganga mkuu wa wilaya?
Mkuu wa wilaya?
Mganga mkuu wa mkuu wa mkoa ?
Mkuu wa mkoa?
Waziri wa afya kwa hiki kilichotokea kama unamwogopa mungu na kujua kuwajibika ni bora ujitoe sadaka kwa kuachia ngazi maana haya yanatokea kwenye macho yako na ulituaminisha watanzania kua Tanzania imejipanga kukabiliana na hili janga la korona ila kwa kilichotokea kinatupa tafakuri kubwa kwamba serikari yetu sio sikivu tena na ipo kwa maslahi binafsi.
Hivi hizi pesa anazopokea waziri mkuu zinaenda kufanya nini kama amana tu hapa hakuna dawa za kuwahudumia wagonjwa Hali ipoje huku mikoani
Manataka kutuaminisha kwamba taarifa mnazotoa kila siku sio za kweli kwamba kuna mambo mnayaficha ili kupunguza taharuki kwa wanannchi?
Kama nnchi tuna deni kubwa tusipoweza kulimaliza hili lenye kubeba uhaia wa watu liatuaminisha kwamba tufanye mabadiliko makubwa sana kwenye hii nnchi. Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna video ya wagonjwa mwenyewe wakihangaika kutoa kutoa amana na wakishauliana watoroke hii inatia hasira sana aisee unaweza dhani nnchi haina viongoziKuna mama mmoja ametoa voicenote inazunguka Whatsap.
Kama huna connections na unahitaji nikupe, niambie.
Amezungumzia Hospitali ya Amana hali mbaya mpaka maiti zinakufa.
Wengi wamemlaumu kwamba maiti zinakufaje?
Kwa watu wa fasihi wanaweza kusema, that was a "Freudian slip".
A Freudian slip, is when you say something that was in the back of your mind.Apparently as mistake, but really as reality as you see it.
Kwa msingi huo, kuna watu wanaona Watanzania wanaoenda hospitali kama maiti, wanaenda hospitali kufarikia kwenye hospitali tu.
Hapi ndipo unapoweza kuoata hii dhana ya Alice in Wonderland ya maiti kufariki.
Sent from my typewriter using Tapatalk
kuna video wagonjwa wakibeba maitiKuna video ya wagonjwa mwenyewe wakihangaika kutoa kutoa amana na wakishauliana watoroke hii inatia hasira sana aisee unaweza dhani nnchi haina viongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna video wagonjwa wakibeba maiti
Hizo video zimeshindikana kabisa kupandisha hapa..??Kuna video ya wagonjwa mwenyewe wakihangaika kutoa kutoa amana na wakishauliana watoroke hii inatia hasira sana aisee unaweza dhani nnchi haina viongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Ujumbe ndani ya hii comment yako.. NotedKauli za juzi za namba moja ni kua Korona ni mali ya mtu binafsi na familia yako jilinde na jipange mwenyewe.... Ova.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeogopa sanakuna video wagonjwa wakibeba maiti