mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeee
Hao watakuwepo sema kwa majina tofauti. Ishu hao wanatakiwa kutoa huduma wanaogopa kuambukizwa. Inadaiwa hawajapewa vifaaKunatakiwa kuwe na infection control oficer katika kila wilaya, majukumu yake.
Kuhakikisha Kuna vifaa vya kutosha katika eneo lake.
Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wote wilayani kwake. Mafunzo yarudiwe kila mwaka.
Tangazo la ITV umelielewa? Pamoja na tangazo hilo, maswali yangu bado yana mantiki.watu mnapenda Ligi
yaani mpaka ITV wametangaza bado mnabisha tu!
Inahitaji coordinated efforts
Kama mmoja hayuko salama , ni ngumu jirani kujilinda mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hatari hii.Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio nimeshindwa kuziweka hapa.
Nambiwa wanapanda magari sasa sijui wanarudi makwao au wanaenda wapi!?
Mungu atunusuru kwakweli.
---
UPDATES MWANANYAMALA
Wagonjwa waleta vurugu
Wagonjwa hao wa corona wamedai wamechoka kukaa hospitalini hapo na sasa wanapiga makelele waruhusiwe waondoke.
UPDATE
Mkuu wa Wilaya Ilala ambayo ndiyo Wilaya yenye Hospitali ya Amana amethibitisha wagonjwa kutaka kuondoka ili wakajitibie nyumbani. Zaidi soma > Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani
Hata kunywa chai ni kuingiza kitu cha moto. Wangapi wamekufa kwa kujifukizia .Tuachie tujaribu maana dawa haijapatikana bado.
Unajua maana ya kujifukiza mkuu? Ni SAUNA kwa lugha yenu.Hata kunywa chai ni kuingiza kitu cha moto. Wangapi wamekufa kwa kujifukizia .Tuachie tujaribu maana dawa haijapatikana bado.