Hakuna dawa ya virus duniani. Chanjo tu.
Mkuu Kobello
Sio kweli, dawa za kuua virus zipo ILA kwa baadhi ya virusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna dawa ya virus duniani. Chanjo tu.
Acha unyanyapaa wewe, JF ipo kwa lengo lá kuhabarishana na kuelimishina, mleta mada amepost hiyo kitu ili watu wahabirishwe,iweje wewe ufanye kazi ya kubashiri kama marehemu Sheikh Yahya?!
Kwa hiyo mtu akileta habari za Jangili kuua Tembo naye atakuwa ni Jangili? Acha kunyanyapaa watu, kesho yako hauijui waweza kumbwa na gonjwa baya kuliko ukimwi.
wampe kapuya kwanza
Mleta uzi kama siyo Muathirika basi atakuwa ni Mzinzi aliyekubuhu..jinsi alivyoiandika Title daah kafurahi kweli.
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,bora
So, kuna kiinimacho ktk ugonjwa huu? Hii deadline vp!!!Good news to some extent ,inafahamika kabla ya 2024 dawa itakua imepatikana
Hakuna kitu
kama kipi?Mkuu Kobello
Sio kweli, dawa za kuua virus zipo ILA kwa baadhi ya virusi.