Wagundua sumu ya kuua VVU mwilini

Wagundua sumu ya kuua VVU mwilini

hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,bora
 
kwani huo ukimwi uko wapi hasa.unahusiana na nini.embu toeni elimu kidogo.
 
Acha unyanyapaa wewe, JF ipo kwa lengo lá kuhabarishana na kuelimishina, mleta mada amepost hiyo kitu ili watu wahabirishwe,iweje wewe ufanye kazi ya kubashiri kama marehemu Sheikh Yahya?!

Hivi ulishawahi kukutwa na majanga amabayo hujui ufumbuzi wake, halafu from no where unaambiwa ufumbuzi wa taizo lako upo paleeee....lazima uwe chizi kwa kuhamaki.
 
Kwa hiyo mtu akileta habari za Jangili kuua Tembo naye atakuwa ni Jangili? Acha kunyanyapaa watu, kesho yako hauijui waweza kumbwa na gonjwa baya kuliko ukimwi.

Inawezekana; Kumbuka watu wengi tunahamaki dawa ya Ukimwi kupatikana ili kuendeleza Ngono zembe.
 
Tumechoka na danganya toto kuna kipindi ilitangazwa dawa imepatikana wagonjwa wa ukimwi mahospitalini walifurahi sana kumbe magumashi,acheni kuwapa presha watu!
 
Yaaa hiz habari zishakua ni nyimbo za taifaa kila siku watafiti ooooh watafiti
 
Unafikiri itatolewa kama paracetamol? Business as usual as ARV's.
 
Back
Top Bottom