Waha /Abaha ni Wanyarwanda?

Waha ni warundi wanaoishi Tanzania, na kinacho sababisha waonekane ni wengi Sana kigoma na Tanzania kiujumla ni vile wanaingia Kila siku kutoka Burundi na kujazana kigoma baadae wanapanda dar es salaam na mikoa mingine
waha wengi wametapakaa mikoa mbalimbali wakifanya biashara mbalimbali
 

Tufafanulie unaposema tanzania asili yake ni Congo!! unatumia ramani ya mwaka gani au kigezo gani!

Leo ni kuelimishana kidogo na kujibu hoja
 
Unachanganya kati ya tawala za kiserikari na mahusiano ya watu au muingiliano wa jamii.

Ha, Twa, Hutu na Tutsi ni makabila yenye muingiliano mkubwa.

Ha na Hutu hata lugha zao zinashahabiana na salami yao ni Mwakeye.

Ila zilikuwa falme au tawala tofauti
Ndio maana kulikuwa na Urundi, Ruanda na Ujiji.

Kusema kabila la Ha ni wanyarwanda sio sawa ila kusema wapo Waha ni wanyarwanda inawezekana.

Leo hii Kuna wahutu ni Watanzania
Leo hii Kuna Watutsi ni Watanzania
Leo hii Kuna Watwa wachache ni Watanzania.
 
It always starts as a simple altercation before it turns out to be a sticky situation..... Kagame anapima upepo imeanza russia/ukraune (crimea), israel/palestina (gaza) itakuja rwanda/tanzania (kigoma).
 
warundi wanaongea kirundi mkuu

rwanda wanaongea kinyarwanda

Their language is a Bantu language,[5] and is called the Ha language, also called Kiha, Ikiha or Giha. It is closely related to the Kirundi and Kinyarwanda spoken in neighbouring Burundi and Rwanda, and belongs to the Niger-Congo family of languages
 

Ni ajabu huyu jamaa hajui Hilo.
 

Kweli kabisa. Kuna sehemu moja nilitembelea pale Tabora inaitwa Ulyankulu , eneo karibia lote wamejaa warundi. Wengi wamezaliwa hapo wamekulia hapo. Mpaka Sasa wamekuwa watanzania, lakini asili yao ni Burundi.
 
Warudi tu kwao wanatusumbua ma ueukaji na nyungo kuna muha kapaa na kibuyu mda mfupi uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…