Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

Mie ninachoamini mtu had anatoboa kapambana na nikiona mtu katoboa namuheshimu sana mana pesa haiji kizembe...

Hata ka karoga kuroga sio kazi rahisi ka kuroga rahis nawe karoge...

Pesa inatafutwa kwa jasho wazee iwe kihalali au sio kihalali mtu akitoboa chukulia kama motisha kwako sio kutia majungu...
 
Na wewe kuwa mchawu ufungue kampuni ya kuchimba mafuta.


MTU huwa vile afikiriavyo. Wewe ndio mchawi Kwa fikra zako.
 
Itakuwa kuna mtu kwao kafariki kisha akarithi mali..
Fanya uchunguzi kwanza mkuu,ongea nae akupe minutes kabla hujapigilia msumari kwamba ni uchawi.
 
Maisha ni good connection tu ukiipata tu tayari umeyatoa!!
 
Ila ungesikia anagongwa ungefurahia kusikia kafungua Duka la Jumla unakonda.
 
Cha kufanya hapo ni hiki, ukiwa na uhitaji wa vifaa vya pikipiki just nenda ukanunue kwake.
 
Utafuta wa waha makabila mengi haya wezi muha anaweza kujichimbia sehemu kwenye utafutaji miaka mtano na kuzima simu hataishi bila kumpigia simu mkewe wala wazazi wake

Aishi na kuvaa vilaka kula mala 1 kwa kutwa kila siku ataakikisha anaweka sh 5000 kwa mwezi 150000 kwa mwaka 1800000 kwa miaka mitano milioni 9 akifungua duka la mchele mbaghara tunasema wachawi,mbona makabila yote yanaloga tu
 
Kuna jamaa mmoja alikua fundi baiskeli konk maeneo ya msasani, Laki ni ghafla akapotea kwenye ofisin ya ufundi baiskeli,juzi namkuta kwenye mduka mkubwa wa vifaa vya ujenzi nikashangaa,kuliza naambiwa sio moja Hilo duka yapo mengine nikachoka kabisa
 
Hivi Kuna uchawi kabisa wa kumletea mtu hela? Kwamba umelala zako huna hata thumni. Unaamka asubuhi unakuta mihela kabatini au mezani zimeletwa kiuchawi!?
Uwezo wa akili ya mtu mvivu unapoishia ndipo uchawi unapoanzia. Uwezo wa akili ya mtu intelligent unapoishia ndipo sayansi inapoanzia.
 
Waha na uchawi ndugu. Muha akijuwa jirani yake anakunya mara 3 kwa siku anakasirika na kumroga ili awe anakunya yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…