Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

We endekeza kuvaa sana na kula bata saaaana
Hoja sio kula kuvaa hoja iko hapa ni waha tu wenye uwezo wa kuicha mke na watoto kwa kipindi kirefu bila hata kuwapigia cm kisa utafutaji hela ya muha ailiwi na ndugu wala mke mtoto

Muha anaweza ugua ndani hoi asiende hositpal hali yakuwa yuko na milioni 3 ndani muha ni mtu anae weza mpiga babake mzazi kisa kamkomesha sh 50000 kashindwa kulipa muha ni mtu anae weza kutembeza miwa machungwa kuuza nadafu akawa analala hanapo kaza tolololi kwa miaka 5 mfululizo

Nenda pale mabibo kuna muha anauza maji na sigara na vocha kaangalie anako lala kwenye banda Miaka 5 katoka kibondo kaacha mke na watoto no kupiga simu no kutuma hela ya matumizi no kutuma ada ya shule waha wengi wao wako hivio utafutaji wa waha ni mgumu sana wamezidi ubahili fikilia mtoto kumjazia watu au kumkwida baba yake kisa hela !!kaishi na waha ujifunze mengi

Utafutaji wao ni wakujima sana uchawi ni sehemu ndogo sana labda huko kwao lakini walipo mjini wauza kahawa mbezi kariakoo wauza viombo mitumba madafu nk hela yao hsiliwi na mtu sio mzazi mke wala mtoto je makabila mengine ya aweza ?? Mimi siwezi
 
Chukua 100 x 500= 50,000 x30=1,500,000 hiyo ni kwa mwezi piga 1,500,000 x 12=.... harafu ndo useme uchawi, tatizo watu tunadharau biashara ndogo ndogo hapo anamzidi hata mfanya kazi wa serikAri Au chukulia hyi hesabu yako ya 20k kwa mwezi harafu kwa mwaka twna
Sisemi kwamba huyo Muha ni mchawi kama mleta mada ila hizi hesabu zako ni za kwenye karatasi maana hiyo si faida gross na hapo mtu ameassume anafanya kazi kila siku mwaka mzma lakininkuna expenses humo humo unaweza kukuta faida kwenye kila sambusa ni 100 tu
 
Wewe endelea kuwaza uchawi na kufuatilia watu utakaa hivo hivo na umaskini wako.

Inaonekana unaishi bila malengo yoyote ndomna unashangaa maendeleo ya watu2[emoji706][emoji706]
 
Kwa hiyo waha mmekuja kusagiana kunguni humu, mtajuana huko bhana na mauchawi yenu.
 
Hivi Kuna uchawi kabisa wa kumletea mtu hela? Kwamba umelala zako huna hata thumni. Unaamka asubuhi unakuta mihela kabatini au mezani zimeletwa kiuchawi!?
Upo
 
Miaka ile kabla elimu haijaja , situation kama hizi. Inapelekea social crimes kama mauaji. Ya huyo mtu kisa tuu etii mchawi na ka develop fasta
 
haha...haha..haha.. huwajui vizuri waha walivyo nati!
kwanza hawa jamaa akija toka Kigoma( kwa zamani) anakuja na madebe mawili ya unga wa muhogo moja la dona kisha anachanganya ungeza chupa tatu za mawese na mfuko wa dagaa kama kilo mbili. hapa hanunui hata chungwa na hiki kinamfaa kwa zaidi ya miezi miwili wakati anajipanga.
sasa kama alikuwa napato la shilingi 20,000/- mpaka 30,000 kwa mwezi anao uwezo wa kuweka 500,000/- kwa mwezi sawa na 6,000,000/- kwa mwezi sasa akifanya kazi hii kwa miaka 3 ana 18,000,000/- achilia mbali kijijini kaacha mashine ya kusaga inaingiza hela na shamba la michikichi au wapo pia wanaolima tumbaku na wengine mazao ya chakula sasa anashindwaje kuwa na duka la vifaa la pikipiki? kwa shilingi 25,000,000?
 
Miaka ile kabla elimu haijaja , situation kama hizi. Inapelekea social crimes kama mauaji. Ya huyo mtu kisa tuu etii mchawi na ka develop fasta
 
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.

Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.

Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.

Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.

Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.

Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.

Acha na maisha ya watu, unakuta usiku anashika bunduki
 
This is a false dichotomy.

Kwani kakwambia mtaji kaupata kwenye biashara ya sambusa?

Kwanini akikosa mtaji kwenye biashara ya sambusa, itakuwa lazima kafanya uchawi?

Leo nikiamua kumtumia ndugu yangu huo mtaji wa milioni 5 mpaka 25 - (ambazo ni hela mbuzi tu, I just bought a NAS device, my fifth one, as a hobbyist, for about $2,800) afungue biashara ya vifaa vya pikipiki badala ya kuuza sambusa, hapo napo utasema kuna uchawi?
 
Hoja sio kula kuvaa hoja iko hapa ni waha tu wenye uwezo wa kuicha mke na watoto kwa kipindi kirefu bila hata kuwapigia cm kisa utafutaji hela ya muha ailiwi na ndugu wala mke mtoto

Muha anaweza ugua ndani hoi asiende hositpal hali yakuwa yuko na milioni 3 ndani muha ni mtu anae weza mpiga babake mzazi kisa kamkomesha sh 50000 kashindwa kulipa muha ni mtu anae weza kutembeza miwa machungwa kuuza nadafu akawa analala hanapo kaza tolololi kwa miaka 5 mfululizo

Nenda pale mabibo kuna muha anauza maji na sigara na vocha kaangalie anako lala kwenye banda Miaka 5 katoka kibondo kaacha mke na watoto no kupiga simu no kutuma hela ya matumizi no kutuma ada ya shule waha wengi wao wako hivio utafutaji wa waha ni mgumu sana wamezidi ubahili fikilia mtoto kumjazia watu au kumkwida baba yake kisa hela !!kaishi na waha ujifunze mengi

Utafutaji wao ni wakujima sana uchawi ni sehemu ndogo sana labda huko kwao lakini walipo mjini wauza kahawa mbezi kariakoo wauza viombo mitumba madafu nk hela yao hsiliwi na mtu sio mzazi mke wala mtoto je makabila mengine ya aweza ?? Mimi siwezi
Akifanikiwa anaikumbuka familia na simu anawapigia au?
 
Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa.

Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa na matatizo mengine pia lazima tuyahesabu.

Duka la kawaida la vifaa vya pikipiki ni atound 5ml -10ml. Duka la jumla mtaji wake si chini ya milioni 25.

Sasa kutoka kwenye kutembeza sambusa mpaka kufungua duka la milioni zaidi ya 25 ghafla inawezekana vipi kama si uchawi? Acheni uchawi.

Angepitia hatua kadhaa mpaka kumiliki duka kubwa kiasi hichi sawa, sasa huyu dogo kapotea kuuliza yuko wapi naambiwa yuko Ilala kafungua duka la jumla la vifaa vya pikipiki.

Ikumbukwe kodi ya fremu Ilala lazima uandae kama milioni 5 hivi wakati wa kuanza biashara.
🤸🤷
 
Kaloge na ww ufanikiwe acha wivu wa kimaskini. Mtu wa namna hii namuona mshamba sana yaani ww ni mshamba huna la maana unaloweza fanya mtu hukui historia yake unawezaje kumjaji kwa kuona anauza sambusa? Je kama anandugu wenye hela wakaamua kumkwamua ndugu yao kama umetokea familia maskini basi ni ww usijilinganishe na wengine na kutaka kuchunguza hela zao wametolea wapi. Fakeni mind set
 
Kubaguana na kudharauliana ni moja ya sababu inayotufanya tuwe masikini.

Jamaa kaona mwenzake kafanikiwa, badala ya kumdadisi ajue siri ya mafanikio, anakimbilia kusema uchawi.

Yani hapo hata kama Waha wametengeneza network ya kusaidiana, kwa dharau na ubaguzi huu, hatuwezi kujifunza kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom