PostGE2025 Wahadhiri wa dini ya kiislamu: Rais Samia anapingwa kwa uzanzibari wake na uislamu wake, hakuna kipindi watu walitekwa kama cha Magufuli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto mbalimbali za uongozi na mambo binafsi. Pia, wamedai kuwa katika kipindi cha uongozi wa Hayati John Magufuli, matukio ya utekaji yalikuwa mengi kuliko kipindi chochote kingine.
FB_IMG_1763144290307.jpg
 
Hatumtaki
 
Huyu shehe ubwabwa ni mzenji au Mtanganyika?

Kwa hiyo yeye anaunga mkono mauaji ya Watanganyika kwa kuwa tu rais ni wa dini yake?

Kama Jpm hakukosolewa na Wakristo, ilikuwaje Lissu akipigwa risasi nyingi nusra auawe?

Ilikuwaje Mkristo Gwajima akaburuzwa ndani na kupimwa mkojo?

Ilikuwaje askofu Severin Niwemugizi akaambiwa siyo Mtanzania??

Acheni unafiki na udini
 
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto mbalimbali za uongozi na mambo binafsi. Pia, wamedai kuwa katika kipindi cha uongozi wa Hayati John Magufuli, matukio ya utekaji yalikuwa mengi kuliko kipindi chochote kingine.

Hawa ndo walipaswa wawe wahadhiri sio mambweha hayo
 
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto mbalimbali za uongozi na mambo binafsi. Pia, wamedai kuwa katika kipindi cha uongozi wa Hayati John Magufuli, matukio ya utekaji yalikuwa mengi kuliko kipindi chochote kingine.
Kuna kila sababu ya kugawana hii nchi kama Pakistan na India
 
Kwahiyo, tuache Wanaisasa WATEKE na KUUA kwa wakati wao??

Kwmaba sasa WATEKAJI hawana shida, shida ni wanaokemea UTEKAJI???

Labda tusubiri mpaka aje Nchimbi au Mwigulu ndyo tuseme sasa basi inatosha.
 
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto mbalimbali za uongozi na mambo binafsi. Pia, wamedai kuwa katika kipindi cha uongozi wa Hayati John Magufuli, matukio ya utekaji yalikuwa mengi kuliko kipindi chochote kingine.
Hawa waseeenge msiwasikilize.
 
Back
Top Bottom