PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Rais Samia kateua Mawaziri, waislam wangapi? Wamejaa wakatoliki, ndio wanataka vile

PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Rais Samia kateua Mawaziri, waislam wangapi? Wamejaa wakatoliki, ndio wanataka vile

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Ustadhi huyu anasema wakatoliki wao wanataka vyeo vikubwa viwe vya wakatoliki, hata Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia, waislam ni wachache kama robo, baraza limejaa wakristo ambao wengi ni Wakatoliki ndio wanataka iwe hivyo.

 
Mawaziri wanachaguliwa kutokana na elimu zao au dini zao?
Hapa ndio inajihidhirisha kuwa kuna Imani moja shule ni shida
 
Tuanze mwanzo..
haijalishi kiongozi ni dini gani woote ni BATILI

Uchaguz..katiba..tume ya uchaguzi..viongozi wote kuanzia rais mpaka balozi ni BATILI!
 
Back
Top Bottom