Wahamiaji haramu hawatakiwi Afrika Kusini baada ya 01 Juni

Wahamiaji haramu hawatakiwi Afrika Kusini baada ya 01 Juni

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wito tayari umetolewa huko Bondeni kuwa wageni hawatakiwi baada ya tarehe 01.06.2023. Waambieni ndugu zetu huko wachukue tahadhari kabla ya hatari.

Vinginevyo, warudi nyumbani tuuze malonya Kariakoo.

IMG-20230522-WA0003.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230531-WA0072.jpg
    IMG-20230531-WA0072.jpg
    61.7 KB · Views: 5
kwa kweli wasauzi hawawapendi kabisa waafrika wenzao na sijui hao wenzao walioko ughaibuni nao wafukuzwe?wazulu ni watu makatili sana wao ni wavivu lkn wachapakazi wanapoenda kwao wao inawauma.
kama nyinyi ma foreigner ni wachapakazi sana kwa nini msibaki kwenu muijenge nchi yenu kwa uchapakazi ???? South pamejaa, ondokeni rudini ma kwenu... Sipendi WaTZ waijaze SAfrika kama ambavyo sipendi Wasomali waijaze TZ
 
Huu nao ni ubaguzi kama aliofanyiwa vini sema kwakuwa weusi kwa weusi hatuoni hilo
 
Usha ambiwa do or die [emoji28][emoji28]yale yale ya kuchinjana kama kipindi kile
 
Back
Top Bottom