Visa ingekua rahisi kama unavyoifikiria hakuna ambae angepita machakani.waulize ndugu zetu watanzania ambao waliingia South Africa na visa jinsi walivyososta kabla visa haijafutwa.sio rahisi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo Eti nikitaka kufika Brazil naendaje?natanguloza shukrani.Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tunakwama wapi? USD 10'000/- ni hela ya kutosha kabisa kuanzisha biashara, lakini mtu anaona aitumie hell hiyo kwa njia ya mateso kwenda kutumikishwa kazi za kishenzi ughaibuniLazima kuna uwalakin ktk sera za nchi za Afrika. Wahamiaji kibindoni kila mtu ana kiasi cha dola za Marekani 10,000 na simu janja yenye GPS pia kusaidia kuwasiliana na ndugu na jamaa kila hatua ya safari hii ndefu, ngumu na ya hatari.
Mpaka hiyo neema ije ni leo !??Nchi za Magharibi zote ikwemo Marekani wanatamani sana watumwa.
Idadi ya wazungu inapungua kwa kasi.
Wanaleta vita ili mkimbie nchi zenu. Wao wabebe mali zenu zote!
Mkipata neema huku Africa,hamuwezi tamani ulaya.
Na mnahitajika hukoo kwao
km cheap labour. Siku ukikumbuka kuja hkn kitu!
Neema Africa sahau, hamtakaa muionje! siyo leo wala kesho. kazi mtagonganishwa vichwa, ili mkimbie zaidi!Mpaka hiyo neema ije ni leo !??
Fanya twende huko tukaache mbeguNeema Africa sahau, hamtakaa muionje! siyo leo wala kesho. kazi mtagonganishwa vichwa, ili mkimbie zaidi!
nitafute kama uko serious nkuunge but safar ni next weeknikipatapa mtu mwenye nia ya kwenda uko naunga tela.
hata kama nitafia njiani poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah. wiki kesho ni mapema sana Mkuu.nitafute kama uko serious nkuunge but safar ni next week
sera mbovu za uongozi dunia ya tatu ndizo zimewafanya kuwa wakimbizi.Vita na ugumu wa maisha vinatufanya binadamu kuhangaika namna hiyo
Wangebaki huko dunia ya tatu guarantee ya kuteseka na ugumu wa maisha na kufa masikini ni zaidi ya asilimia 90
Huyo dada wa kinijeria katisha[emoji848]Hatimaye kuwasili border ya Marekani na Canada kupitia barabara maaruf inayounganisha nchi hizo mbili za Amerika ya Kaskazini kulipo na jimbo la Quebec Canada linalozungumza Kifaransa kama lugha rasmi
[emoji28][emoji28]Noma sana, ila wazungu wakiacha kufyonza raslimali za Wafrika kama vile makinikia na kuacha tunufaike kwa raslimali zetu hawatatuona huko kwao, lakini kwa hili la wao kujenga mataifa yao yanapendeza kwa kutumia raslimali zetu, tutawafuata hadi wakome, huko huko tena tunazaliana tukifika, mama anafyatua watoto kumi huko kwao na kunyonyesha nyonyesha barabarani....
Hivi canada mambo ni matamu kule??Twende mkuu.mimi nimeshahangaika kwenda Canada mpaka nimenyoosha mikono juu.sikidhi vigezo.kama vipi tuanzishe mdogo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa kweli umekata tamaa, wali mandondo mtamu balaaBora nikafie huko nijaribu kutoka kuliko kukaa hapa pasipo na matumaini yoyote. Tena sasa hivi ticket za ndege zimeshuka bei balaa kwa ajili ya janga is corona.I will die trying.Mi sio mnyonge. Kifo tumeumbiwa wote.hata nisipoenda nitakufa kama paka tu hapa Africa.I've got nothing to lose at all
Sent using Jamii Forums mobile app