Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

Shida sio visa shida ni pesa ya kusupport application yako ya visa ionekane kuwa genune

Account ikiwa imeshiba huwezi kosa visa nchi yeyote
Visa ingekua rahisi kama unavyoifikiria hakuna ambae angepita machakani.waulize ndugu zetu watanzania ambao waliingia South Africa na visa jinsi walivyososta kabla visa haijafutwa.sio rahisi hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Feb 7, 2020
Tanzanian Green Card Lottery Winner 2020 : Interview - Swahili Video

Mshindi aelezea ndoto zake baada ya kushinda Green Card lottery.


source : EBM SCHOLARS
 
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo Eti nikitaka kufika Brazil naendaje?natanguloza shukrani.Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo Eti nikitaka kufika Brazil naendaje?natanguloza shukrani.Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo wapi USA, Mexico au Tanzania n.k ? Hii itasaidia kupewa mrejesho na wanaJF.
 
Lazima kuna uwalakin ktk sera za nchi za Afrika. Wahamiaji kibindoni kila mtu ana kiasi cha dola za Marekani 10,000 na simu janja yenye GPS pia kusaidia kuwasiliana na ndugu na jamaa kila hatua ya safari hii ndefu, ngumu na ya hatari.
Waafrika tunakwama wapi? USD 10'000/- ni hela ya kutosha kabisa kuanzisha biashara, lakini mtu anaona aitumie hell hiyo kwa njia ya mateso kwenda kutumikishwa kazi za kishenzi ughaibuni
 
Kwa miguu na malori ya mizigo kukatisha jangwa la Sahara kisha kukatiza bahari hadi ulaya

 
Huu wakati wa corona wahamiaji wanaingia ulaya na marekani kama kawaida au imesitishwa kwanza?
 
Nchi za Magharibi zote ikwemo Marekani wanatamani sana watumwa.
Idadi ya wazungu inapungua kwa kasi.

Wanaleta vita ili mkimbie nchi zenu. Wao wabebe mali zenu zote!
Mkipata neema huku Africa,hamuwezi tamani ulaya.

Na mnahitajika hukoo kwao
km cheap labour. Siku ukikumbuka kuja hkn kitu!
Mpaka hiyo neema ije ni leo !??
 
nitafute kama uko serious nkuunge but safar ni next week
Dah. wiki kesho ni mapema sana Mkuu.
Ratiba yangu inaonyesha December mwishoni ndo nitakuwa huru kufanya hivyo.
ninatengeneza mazingira ya kuacha madogo katika mazingira mazuri.

Nb: naomba nije DM ama ufunguke hapa(kwa manufaa ya wengi) unipe tips za kuanzia.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Vita na ugumu wa maisha vinatufanya binadamu kuhangaika namna hiyo

Wangebaki huko dunia ya tatu guarantee ya kuteseka na ugumu wa maisha na kufa masikini ni zaidi ya asilimia 90
sera mbovu za uongozi dunia ya tatu ndizo zimewafanya kuwa wakimbizi.
enzi za utumwa walipelekwa kwa lazima siku hizi wanajipeleka wenyewe utumwani
 
Hatimaye kuwasili border ya Marekani na Canada kupitia barabara maaruf inayounganisha nchi hizo mbili za Amerika ya Kaskazini kulipo na jimbo la Quebec Canada linalozungumza Kifaransa kama lugha rasmi
Huyo dada wa kinijeria katisha[emoji848]

" In Nigeria at tender age the take our children to a man
 
Noma sana, ila wazungu wakiacha kufyonza raslimali za Wafrika kama vile makinikia na kuacha tunufaike kwa raslimali zetu hawatatuona huko kwao, lakini kwa hili la wao kujenga mataifa yao yanapendeza kwa kutumia raslimali zetu, tutawafuata hadi wakome, huko huko tena tunazaliana tukifika, mama anafyatua watoto kumi huko kwao na kunyonyesha nyonyesha barabarani....
[emoji28][emoji28]
 
Bora nikafie huko nijaribu kutoka kuliko kukaa hapa pasipo na matumaini yoyote. Tena sasa hivi ticket za ndege zimeshuka bei balaa kwa ajili ya janga is corona.I will die trying.Mi sio mnyonge. Kifo tumeumbiwa wote.hata nisipoenda nitakufa kama paka tu hapa Africa.I've got nothing to lose at all

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa kweli umekata tamaa, wali mandondo mtamu balaa
 
Deadliest Journeys in Katanga, Congo in 2015



In Katanga many people are waiting for a train named after a bird, the “Swallow”.

More than 2000 people, three times the train’s capacity, are squeezing in the carriages. Conditions are precarious in the “Swallow”, which crosses the whole country in more than a week, stopping in several villages.

But 1600km are difficult for this 50 year old bird (train). The rails aren’t well maintained, accidents are frequent and the journey is risky especially for those who choose to travel on the top of the train. The way isn’t easier by car, by bike or on foot.

Road 1, the longest road in the country is often unusable during rainy season. Some sellers have bicycles loaded with their goods, but it’s impossible to pedal in sand so they have to push them all the way through.

Travelling seems a real nightmare in RDC, but delays and breakdowns are a good thing for some, especially merchants who take advantage of the several stops to sell their products.

Source : Free documentary
 
KAZI "MIKOANI" BWERERE MAREKANI YA KASKAZINI (USA na CANADA), USIKIMBILIE MIJINI
Waalimu wa kiTanzania mjiamini kwa kutafuta kazi Marekani ya Kaskazini kama hawa waalimu wa mathematics waFilipino aliyeamua kuomba kazi ktk jimbo moja kijijini kupitia kuomba viza J1

24 Jul 2019
Charmaine Teodoro is a Filipina recruited to teach math at a rural school in Colorado experiencing a teacher shortage. Now in her second year and on a J-1 visa, Teodoro talks about her future plans, the challenges she faced in her first year, and the cultural differences between the two countries, especially when teaching teenagers.
Source : VOA News
 
Back
Top Bottom